NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Kwa ufafanuzi zaidi, hizi ndizo points walizopata hizi timu tatu katika michezo yote waliyokwishacheza hadi leo.

nba-jpg.316681

Kama inavyoonekana hapo juu, GSW hawana mchezo wanapokuwa uwanjani.
Kama takwimu zina maana yoyote, hawana mpinzani!​
 
Attachments

  • nba.jpg
    nba.jpg
    35.6 KB · Views: 35
Kwa ufafanuzi zaidi, hizi ndizo points walizopata hizi timu tatu katika michezo yote waliyokwishacheza hadi leo.

Kama inavyoonekana hapo juu, GSW hawana mchezo wanapokuwa uwanjani.
Kama takwimu zina maana yoyote, hawana mpinzani!​
Ila umesahau kuwa Cavs ndiyo waliwapelekesha Warriors hadi kushindwa kufikisha points 90 kwenye homecourt. I hope tarehe 19 Cavs watawashushia kipigo Warriors....
 
History ought to be the best teacher if only our memories could rise to the task. Unfortunately our prejudices always act as stumbling blocks when all that is expected of us is but objective outlook. Talking of "kipigo", if the one CAVs received last year during the finals at their so called homecourt is anything to go by...need I go on?

Nevertheless, it had to happen and tonight Warriors have no answer to the Nuggets onslaught and by the looks of things the record is likely to be 36-3...unless some miracle happens.
 
It is over and the Warriors lose 110-112 to the Nuggets and the record now stands at 36-3!
 
GSW have rewritten the record books holding best start record in 16 to 38 games

Now sharing best record after 39 games with;
Bulls 95/96
Lakers 71/72
76ers 66/67
 
History ought to be the best teacher if only our memories could rise to the task. Unfortunately our prejudices always act as stumbling blocks when all that is expected of us is but objective outlook. Talking of "kipigo", if the one CAVs received last year during the finals at their so called homecourt is anything to go by...need I go on?

Nevertheless, it had to happen and tonight Warriors have no answer to the Nuggets onslaught and by the looks of things the record is likely to be 36-3...unless some miracle happens.
Dah! Chief, wewe ndiyo hujajiona na prejudice siyo? Maana licha ya kushinda series na championship, lakini Warriors walipigwa na Cavs katika game 2 nyumbani kwao LBJ akipiga triple doubles, na kisha kushinda game 3 Ohio. Hivyo inawezekana Warriors kufungwa, inawezekana. Maana ulivyoongea ni kama vile Warriors waliwa-sweep Cavs kwa 4-0, it was 4-2. That meant Warriors were beaten twice: once at home and the other one away. Sasa kwanini nisiseme kuwa Cavs watawapa kipigo tarehe 19? Where is my prejudice? And why can't see yours?!
 
Huyo jamaa hapo juu hajui Curry kaweka record ya most 3's in a single season kwa miaka miwili mfululizo na mwaka huu yuko kwenye race ya kuvunja aliyoiweka kwa zaidi ya 100 3's... Aiseee kuna watu vichaa huku duniani...

Yani anamfananisha Jamal na Jason Kidd na Stephen Curry hahahahahahaha... Jamaa alicopy wapi sijui post ya 2013 huko.... Aibuuu sana
when you are the new face of the NBA,the most defending champ,the new MVP,the most talked about,more highlights than most stars combined,praised by the media,experts and greats in the sport of basketball.You have arrived,Envy is a b*tch!Haters better watch their saltness,or BP will spike.
All fans with sanity thoughts know,Curry and co. have a mission, and the doubters" hate is least of their worries...
[/QUOTE]

[/QUOTE][/QUOTE]
Kuna mmoja huko juu naona kashanyoosha mikono teh teh teh...

Sasahivi tumepumzika naona Spurs na Cavs ndio wamewasha magari..

Sisi tunasubiri ile run yetu ngumu kuanzia Spurs, OKC, Cavs from 15 January..
 
Wewe bwana nimekwambia kazi yako ni kucopy na kupaste post zilizopostiwa na wenzako mwaka 2013 huko teh teh teh...

For the record, Curry hana hizo 3 pointers 845 unazosema, anazo 1345... Uko miaka mitatu nyuma ndugu...

Haya endelea na kazi ya kucopy na kupaste...
daah mkuu,I just cant quote,statement by statement....hakika nilidhani nimeingia thread ya mwaka juzi....kuna vitu vingi sana hana ushahidi navyo,
 
Jamaa anamlinganisha Jamal Crawford na Curry... teh teh teh teh
 
to him,being better is directly proportional to 3pt made.....(full stop)...never takes into consideration %,no of attempts,time frame,impact to the game,clutch plays,....hajui Curry sasa anainyemelea 90 40 50 club...
ungemuuliza kama kama kashawai ona someone who can shoot off the dribble like that, or someone who can pull from 40ft as if its a lay up.....
...anyway...naona yuko cool sasa...atleast for the moment..
 
Alikuja kichwa kichwa akatulizwa... Hata wale Curry haters hapa hawakumpa support kwa alivyokuwa anapotea
 
to him,being better is directly proportional to 3pt made.....(full stop)...never takes into consideration %,no of attempts,time frame,impact to the game,clutch plays,....hajui Curry sasa anainyemelea 90 40 50 club...
ungemuuliza kama kama kashawai ona someone who can shoot off the dribble like that, or someone who can pull from 40ft as if its a lay up.....
...anyway...naona yuko cool sasa...atleast for the moment..
Chief, that's is just a minor part of basketball. If you mean Curry will be the best shooting guard ever (technically I think he fits better as a shooting guard than a point guard which is his official position), then you have a point. But, being called the best ever in NBA after 1.5 seasons of being a great player, NO WAY I'm gonna buy such a crap.
 
Since January 2015, when LBJ, KI and KL have played together, Cavs have been 42-5!
 
Back
Top Bottom