NBA Season 2015 - 2016: Special thread


Ha ha ha, nimeiona ile koment yako mkuu.

Ila wewe ni moja ya watu hata kama ulijua GSW watashinda, ilikuwa ni kwa sababu ya ubora wao ni si kwa sababu ulikuwa unawapenda.

Na kila mara GSW akipigwa ulikuwa lazima utokee hapa.

Conglats too.
 

It is possible to possibilise the impossibilities!!!!!

We will be waiting for you guys for another rematch if you make it.

With East, we are guaranteed a spot in the Finals.
 

Mkuu mmenyeshwa dawa mliyokuwa mkiwanywesha wenzenu.

Na as far as strenth in numbers is concerned, GSW wana total points 699 na Cavs wa 703 kwa series nzima.

Bila kusahau kwamba mlishinda game zote 2 kwenye regular season! Tena kwa blowouts as you call it.
 
mwakani lebron lazima atimbe fainali tena maana yeye na finals ni damu damu


Mkuu mmenyeshwa dawa mliyokuwa mkiwanywesha wenzenu.

Na as far as strenth in numbers is concerned, GSW wana total points 699 na Cavs wa 703 kwa series nzima.

Bila kusahau kwamba mlishinda game zote 3 kwenye regular season!
 
Leo siongei, nasubiri nimsikie Raimundo anatoa excuse gani Leo. Nzi namsamehe, najua anavyoumia...hata hivyo nampa pole. Juzi nimewaambia kuwa CAVS kwa GSW? Mmmh Ni kama kumsukuma mlevi. Ngojeni game 2, the splash brothers washushe mvua!

Ha ha ha, pale unapoenda kumsukuma mlevi akakukwepa ukaanguka wewe.

Mlevi anabaki amesimama anakucheka.
 

Ha ha ha, nachimbua posts za majigambo wakuu, mnisamehe tu.

So happy for LBJ today.

cc Nzi
 

Poleni wakubwa, there is no empire that remains forever!
 

Nyingine hii.
 

Ha ha ha, nyie leo inabidi mkifungua JF mzikute tu hizi reply za mbwembwe zenu, maana najua mngeshinda ninyi yangukuwa haya haya kwangu.

Poleni sana, tumewafunga kwa taabu sana, mmekufa kiume.
 

Cavs have proved that, haven't they?

Game 7 won at your court.
 

Ha ha ha, unajua kuna ile unaenda kumsukuma mtu ukiwa na uhakika kabisa kwamba ataanguka, sasa ikitokea akakukwepa unajikuta unaanguka wewe yeye anabaki amesimama.

Hiyo ndo imewakuta nyie.
 
Mkuu hakuna mahali niliposema wamenikatisha tamaa in terms ya series nzima, nimesema hawajacheza vizuri game 1 na 2 ila siyo kukata tamaa kabisa.

Bado nafasi tunayo, 2 bila siyo gap kubwa if your team have a King.


The King Made it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…