Hiyo ilikuwa ni shade kwa LeBron!
Watu wengi huwa hatuweki akiba ya maneno.
LeBron alisemwa weee...kwamba hawezi kushinda ubingwa bila ya kuwafuata ma superstar wenzie.
Sasa hapa KD kafanya tofauti kweli?
Kitendo cha Lebron kurudi na kuipa ubingwa CAVS kimesaidia kupunguza zile shutuma na ameweka standard huenda wengi watafuata nyayo zake.Wanahama kwenda kutafuta ring wakishapata wanarudi home.Hiyo ilikuwa ni shade kwa LeBron!
Watu wengi huwa hatuweki akiba ya maneno.
LeBron alisemwa weee...kwamba hawezi kushinda ubingwa bila ya kuwafuata ma superstar wenzie.
Sasa hapa KD kafanya tofauti kweli?
Huwa unanitenga sanaDuh, kumbe mimi nimezama huko Jukwaa la siasa huku mambo yanaendelea. Nilidhani msimu 2015/2016 umeisha na sasa tunasubiri 2016/2017 kumbe watu bado wamezama kwenye msimu ulioisha! Mnaonaje tukianzisha kabisa msimu mpya kwa sababu naona hapa tutakuwa tunachanganya mambo.
Nyani Ngabu, Raimundo, Tyta, Steph Curry na wapenzi wote wa Basketball, asanteni kwa kuhakikisha Jukwaa letu linaendelea kuishi na hongereni sana.
Kitendo cha Lebron kurudi na kuipa ubingwa CAVS kimesaidia kupunguza zile shutuma na ameweka standard huenda wengi watafuata nyayo zake.Wanahama kwenda kutafuta ring wakishapata wanarudi home.
Huwa unanitenga sana
Hahahaha sasa mwanangu Steph Curry sijui hajapata taarifa maana huwa anakuja na post za kumfukuza ngabu humuAnadhani wewe ni mamluki labda, naona anataka tuanzishe uzi mwingine ili asizione posts za kupoteza ubingwa.
Samahani sana Alegria do povo, nimefuatilia comments zako na kwa kweli kati ya wachache wanaotoa data humu nawe upo. Wewe si mwanaspoti uchwara, you are a true sportsman.Huwa unanitenga sana
Hahahaha sasa mwanangu Steph Curry sijui hajapata taarifa maana huwa anakuja na post za kumfukuza ngabu humu
Samahani sana Alegria do povo, nimefuatilia comments zako na kwa kweli kati ya wachache wanaotoa data humu nawe upo. Wewe si mwanaspoti uchwara, you are a true sportsman.
Ha ha haaa...Sasa ndugu yangu Raimundo, kuna ubaya gani kuanzisha uzi mpya kama tunaingia msimu mpya, mbona ndio imekuwa kawaida humu? Sawa, ubingwa tuliukosa lakini rekodi tuliziandika na mpaka zitakapovunjwa, GSW moto wake ni ule ule...!Anadhani wewe ni mamluki labda, naona anataka tuanzishe uzi mwingine ili asizione posts za kupoteza ubingwa.
Ha ha haaa...Sasa ndugu yangu Raimundo, kuna ubaya gani kuanzisha uzi mpya kama tunaingia msimu mpya, mbona ndio imekuwa kawaida humu? Sawa, ubingwa tuliukosa lakini rekodi tuliziandika na mpaka zitakapovunjwa, GSW moto wake ni ule ule...!
I see LeBron going to Miami [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani kabisa. Na sasa atakuwa anapiga simu kila muda
Hujaona jamaa kaiondoaHa ha ha, yaani aondoke Cavs?
Sahau hii kitu, he is ta home delivering "The Promise".
BTW hii miaka miwili KD aliyosaini na ninyi ubingwa muusahau, maana KD ana curse ya Lil B The BASEDGOD.
Hujaona jamaa kaiondoa
teh teh teh nimefurahi mno leo... Hii deal nilianza kuinusa since jana ile last meeting aliyofanya na OKC ambayo haikuchukua hata muda mrefu..Ha ha ha! Durant ametisha, ngoja tuone ni jinsi gani timu zingine zitajipanga kupambana na GSW!
Noma sana, nadhani hii itampa faraja sana Steph Curry maana alimlilia sana KD humu jukwaani.
All in All, nothing is Guaranteed.
Man I'm super happy... Let's skip regulars to play Cavaliers for the finals... Ooooohh nop, we gonna set a new regular season winning record and win it all this season to clear out the last season mess...''Think about everything that had to happen for the Warriors to sign Kevin Durant: the timing of the new TV deal, no smoothing, Stephen Curry's bargain contract. We may never see something like this again in our lifetimes.''K.P
(kwa hisani ya watundu)