Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Hiyo ilikuwa ni shade kwa LeBron!
Watu wengi huwa hatuweki akiba ya maneno.
LeBron alisemwa weee...kwamba hawezi kushinda ubingwa bila ya kuwafuata ma superstar wenzie.
Sasa hapa KD kafanya tofauti kweli?
Bora hata alichofanya LBJ, 2009-10 Heat walikuwa wameshinda game 47 kwenye regular season na waliishia round ya kwanza tu.
Huyu kaenda kujiunga na timu iliyoshinda game 73 na imefika fainali, huyu ndo kafata mteremko zaidi.