NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Ha ha ha, mna mbwembwe washabiki wa GSW.
usijali mkuu...lleo niliposikia ile introduction song ya Chicago Bulls,nikawambuka Bulls ya Jordan....

And now... the starting line-up for your, World Champion, Chicago Bulls!!!!
At forward, from Central Arkansas... 6'8... SCOTTTIIIIIIEEE Pippen!!!!
At 6'7 forward from Southeastern Ooooklahoma State... DENNIS RODMANNNN!!!
The man in the middle, from University of New Mexico, 7'2, Luc... Longley!!!!"
At 6'6 guard from Miami University, Ron Harper!
From North Carolina... at guard... 6'6 MICHAEEEEELLL JORDANNN!!!
The head coach of the Bulls is Phil Jackson!......
daaaamn..that was waaaay back...when Chicago Bulls were CHICAGO BULLS
 
18/1/2016 - CAVS: 98-132...difference 34 pts (average GSW score per quarter 33)
20/1/2016 - Bulls: 94-125...difference 31 pts (average GSW score per quarter 31.67)
22/1/2016 - Pacers: ???

Na sasa tunasubiri Jumatatu tarehe 25/1/2015. Kwa wanaofuatilia kwa karibu haya mashindano yanavyokwenda, sidhani kama watashindwa kuona jinsi mchezo wa GSW unavyotofautiana na ile ya timu zingine. Nakumbuka wasi wasi ulivyowakumba mashabiki wa GSW humu JF mwaka jana baada ya CAVs kuongoza 2-1 katika michezo ya fainali.

Nakumbuka nilivyojaribu kumtia moyo Steph Curry na kumtaka aondoe wasi wasi kwa sababu mimi nilikuwa nausoma mchezo na sikuwahi kuwa na shaka kwa uwezo wa GSW. Tyta alikuwa keshakata tamaa baada ya mchezo wa tatu na hasa pale mchezo wa nne ulipokuwa ukisubiriwa nyumbani kwa CAVs, Quicken Loans Arena.

Kuna wakati nilim'challenge' Nyani Ngabu kwa maneno "wanna bet?" Raimundo tayari alikuwa anatamba humu ndani kifua nje nje akinena mbio za sakafuni za GSW zimefikia ukingoni. Yegomasika ndio usiseme...ingawa Safari hii wako wengine wamehamia kwa Spurs, hivi sasa mbio za GSW zinatabiriwa kufikia kikomo...wapi? Oracle, come Monday😉😉😉
 
Kuna wakati nilim'challenge' Nyani Ngabu kwa maneno "wanna bet?"

Hivi msimu wa NBA ndo unakaribia kuisha, ama?

...ingawa Safari hii wako wengine wamehamia kwa Spurs, hivi sasa mbio za GSW zinatabiriwa kufikia kikomo...wapi? Oracle, come Monday😉😉😉

Akina nani hao wadandia treni la Spurs? Hebu wataje tuwajue....

Halafu, hata kama GSW wakishinda hiyo Jumatatu, kwani huo mchezo ndo wa fainali? La sivyo, hii dhana ya kikomo cha mbio za timu yako kuishia Oracle zinatoka wapi? Kuna waliodai hivyo?

Au ni hisia tu ulizonazo juu ya yale unayodhani labda ni hisia za wengine?

Timu yako ipo mechi mbili tu mbele ya Spurs.....tofauti si kubwa sana hapo. Na hadi kufikia mwisho wa msimu hakuna anayejua nani atakuwa anaongoza.

Kwa hiyo punguza kidogo mapepe, msimu bado mrefu huu.
 
Mkuu vipi... Unaiongeleaje Jumatatu.. Usije ukasema Spurs hawatakuwa serious tu

hehehehehe Tyta

Spurs! Usishangae yule kocha wao akawaweka bench Timmy na TP.

Show itakuwa ya Kawhi na LA, tena kama inaonyeshwa na NBA TV ndo kabisa mzee anazinguaga.
 
18/1/2016 - CAVS: 98-132...difference 34 pts (=average GSW score per quarter)
20/1/2016 - Bulls: 94-125...difference 31 pts (=average GSW score per quarter)
22/1/2016 - Pacers: ???

Na sasa tunasubiri Jumatatu tarehe 25/1/2015. Kwa wanaofuatilia kwa karibu haya mashindano yanavyokwenda, sidhani kama watashindwa kuona jinsi mchezo wa GSW unavyotofautiana na ile ya timu zingine. Nakumbuka wasi wasi ulivyowakumba mashabiki wa GSW humu JF mwaka jana baada ya CAVs kuongoza 2-1 katika michezo ya fainali.

Nakumbuka nilivyojaribu kumtia moyo Steph Curry na kumtaka aondoe wasi wasi kwa sababu mimi nilikuwa nausoma mchezo na sikuwahi kuwa na shaka kwa uwezo wa GSW. Tyta alikuwa keshakata tamaa baada ya mchezo wa tatu na hasa pale mchezo wa nne ulipokuwa ukisubiriwa nyumbani kwa CAVs, Quicken Loans Arena.

Kuna wakati nilim'challenge' Nyani Ngabu kwa maneno "wanna bet?" Raimundo tayari alikuwa anatamba humu ndani kifua nje nje akinena mbio za sakafuni za GSW zimefikia ukingoni. Yegomasika ndio usiseme...ingawa Safari hii wako wengine wamehamia kwa Spurs, hivi sasa mbio za GSW zinatabiriwa kufikia kikomo...wapi? Oracle, come Monday😉😉😉
Mkuu baada ya ile Loss ya game 3 nilikuwa disappointed sana na nikakata tamaa kabisa... Nakumbuka Game 4 sikuweza kuingalia live, nilianza kuchungulia humu JF kuona madongo ya akina Raimundo na Nyani Ngabu na swaiba wetu asiyejulikana alipo BAK lakini baada ya kuona wako kimya na wewe ndiye ulikuwa unatamba ndio nikaanza kuiangalia hiyo game...

Hawa Pacers naona blowout nyingine... Pale kwao tuliwapiga kwa zaidi ya point 20 at the end of third quarter... Benchi walivyoingia fourth quarter wakavurunda jamaa wakarudi kwenye game... Hii game ndio nakumbuka Klay aliumia akakaa chini game mbili au tatu zikiwemo za Boston na Bucks.. Huwa nawaza kama Klay asingeumia labda leo tungekuwa tunaongea kuvunjwa kwa ile record ya 33 ya Lakers... Sasa kesho hawa Pacers wajiandae kwa Show pale Bay...

And on Monday... That's the real final match up... Kwa hii pace yetu ya sasa ni kama tulivyoanza ile 24-0 at the start.. Sina shaka kabisa, Spurs atakufa kwa zaidi ya point 10 alafu tutaambiwa It's just a regular season game.. Utafikiri Spurs don't want to pull Warriors closer to compete for the top seed...

And for the record we played 43 games and we are 39-4.. Beating all top teams in Eastern and West with exceptional of Hawks and Spurs... We have now remained with 39 games.. and most of those games we will be playing at Oracle (mind u we only had 19 games there, and 24 on road).. If we will go 33-5, The Bulls record will be over..
 
Spurs! Usishangae yule kocha wao akawaweka bench Timmy na TP.

Show itakuwa ya Kawhi na LA, tena kama inaonyeshwa na NBA TV ndo kabisa mzee anazinguaga.
Spurs wamecheza game 42, 24 kati ya hizo wamepiga AT&T, 18 tu ndio walikuwa on road.. Na hizo 18, they are 12-6..

Spurs bado wana kazi ngumu kuipigania nafasi ya kwanza.. Kitu mbaya ni kwamba wakibakia hapo wanaweza kuja kukutana na OKC kwenye second round... Sisi tunaweza kutana na mteja wetu Clippers au Dallas.. Unaweza kuona hao jamaa watachoka sana... Maana First Round wana hatihati ya kuvaana na Rockets... Spurs ana njia ngumu ukilinganisha na ambayo atapita GSW... Waombe hio njia yao wasipatwe na majeruhi au wakaingia West finals wakiwa wamechoka...
 
Hawataweza kuwatoa kwenye no 1, ila ninaamini strategy za Babu Pop kwenye kuwapumzisha wachezaji wake kwa ajili ya kuwaandaa na playoffs.

OKC na LAC wanagombania no 3 na wana equal chances, kwa hiyo kama LAC akimbit OKC kwenye no 3 mnaweza pia kukutana naye semi. Ambayo itakuwa playoff nzuri sana kama marefa hawataiharibu.
 
I can bet top four kama ilivyo sasa ndivyo itakavyobaki...

Still nawazia hiyo njia atakayopitia Spurs... Tusije tukawa surprised hata finals asifike..

Kumbuka pia Spurs anakomaa amalize juu ya Cavs ili kama atakutana nae Finals awe na home court advantage..

Babu alipumzisha wachezaji wake sababu alikuwa na mechi laini nyingi na alipiga home..

Kumbuka tu katika game 5 zijazo Spurs anapiga na 4 away alafu game 3 zilizofuatana ni anaanza na Warriors anakuja Rockets then anaenda kwa Cavs... Alafu bado zile 7 straight away games ambazo 3 kati ya hizo atapiga na Rockets, Miami na Clippers.. Ndio maana babu aliwapumzisha ili ajiandae na hii fixture ngumu ili ailinde nafasi yake ya pili na wala hayo sio mahesabu ya Play Offs..
 
Hivi msimu wa NBA ndo unakaribia kuisha, ama?
Hii inaitwa projection na kwa mwana hesabu ni kitu kinaeleweka sana. Lakini hata tukiacha hesabu, tunayo historia kupigilia msumari.
Akina nani hao wadandia treni la Spurs? Hebu wataje tuwajue....
Loo, yaani hata wewe...upikiwe, uwekewe mezani, ulishwe na bado usubiri kutafuniwa! Makubwaa...
Halafu, hata kama GSW wakishinda hiyo Jumatatu, kwani huo mchezo ndo wa fainali? La sivyo, hii dhana ya kikomo cha mbio za timu yako kuishia Oracle zinatoka wapi? Kuna waliodai hivyo?
Kuna hiki kinachoitwa win streak ya nyumbani, ndio mbio inayoongelewa hapa.
Au ni hisia tu ulizonazo juu ya yale unayodhani labda ni hisia za wengine?
Wacha hisia ibakie hisia, iwe yako, yangu au yao. Bila hivyo maisha hayaendelei.
Timu yako ipo mechi mbili tu mbele ya Spurs.....tofauti si kubwa sana hapo. Na hadi kufikia mwisho wa msimu hakuna anayejua nani atakuwa anaongoza.
Hamadi kibindoni! Wengine husema, a bird in the hand...
Kwa hiyo punguza kidogo mapepe, msimu bado mrefu huu.
Ehe, u mwepesi kusahau...vipi yale mapepe kabla na baada ya Desemba 25 mwaka jana! Sikutegemea kushuhudia yale yale Januari 18 mwaka huu but then some people just never learn. Cool down bro, nachangamsha tu jamvi.
 
Hii inaitwa projection na kwa mwana hesabu ni kitu kinaeleweka sana. Lakini hata tukiacha hesabu, tunayo historia kupigilia msumari.

Loo, yaani hata wewe...upikiwe, uwekewe mezani, ulishwe na bado usubiri kutafuniwa! Makubwaa...

Kuna hiki kinachoitwa win streak ya nyumbani, ndio mbio inayoongelewa hapa.

Wacha hisia ibakie hisia, iwe yako, yangu au yao. Bila hivyo maisha hayaendelei.

Hamadi kibindoni! Wengine husema, a bird in the hand...

Ehe, u mwepesi kusahau...vipi yale mapepe kabla na baada ya Desemba 25 mwaka jana! Sikutegemea kushuhudia yale yale Januari 18 mwaka huu but then some people just never learn. Cool down bro, nachangamsha tu jamvi.

Duh!

Haya bana. Hongereni lakini.
 
Duh!

Haya bana. Hongereni lakini.
Regardless of the outcome of Monday's match, it is a match that neither team can afford not to take seriously. Three things immediately come to mind; morale-boosting, confidence-building and trend-setting...all will be exemplified in this one match. What's your take buddy?
 
May the best team win.

That's my take, big hommie.
 
Problem of Democracy............ASG has been a popularity contest....................
 
Tyta alikuwa keshakata tamaa baada ya mchezo wa tatu na hasa pale mchezo wa nne ulipokuwa ukisubiriwa nyumbani kwa CAVs, Quicken Loans Arena.
I must admit,my confidence was all time low....Unajua being a First timer(The whole Dub Squad) against a team with a couple of Ex-champs had me reserve my doubts.....
..Hata wakina MJ (ECF)Walipata taabu sana kuvuka kigingi cha Bad Boys early in their careers..however, I still could have been happy for LBJ...he was a one manshow who unfortunately fell short.
 
ALL STAR STARTERS
Western Conference: Curry, Westbrook, Durant, Kobe, Kawhi

Eastern Conference: Wade, Lowry, Lebron, Paul George, Carmelo

Couches will sit on 28th Jan to vote for the reserves...
 
ALL STAR STARTERS
Western Conference: Curry, Westbrook, Durant, Kobe, Kawhi

Eastern Conference: Wade, Lowry, Lebron, Paul George, Carmelo

Couches will sit on 28th Jan to vote for the reserves...
lots of KKK in the western Conf......teheteh
 
Shocker!

I think many people saw this coming but just not this quick, myself included.

From the jump David Blatt appeared to be in over his head.

It kinda even seemed like LeBron didn't respect him.

Not sure why.

Maybe because he didn't have that NBA pedigree.

On the other hand, I like Tyronn Lue.

I've liked him ever since he was a Laker.

He seemed to have more rapport with the players more than Blatt did.

Now at helm we'll see how he fares.

I liken Lue to Luke Walton. If I'm not mistaken they were both Lakers at some point during their playing careers.

But now Blatt is gone.

So what will be the excuse?

Because sometimes I think it's not even about the coach.

The coach doesn't get on the hardwood and play.

Anyway, what do I know.....

Cavaliers fire coach David Blatt

The Cleveland Cavaliers have fired coach David Blatt, league sources told Yahoo Sports.

Ty Lue, Blatt's top assistant, has agreed to a three-year deal to become the team's new head coach, sources told Yahoo.
LeBron James and his agent, Rich Paul, had been strong advocates of Lue becoming head coach since last season, sources said.
Source

Far from it, this was no shocker, it was overdue. I sensed it last night as I watched him hobble his way around inspite of a comfortable win.
So what will be the excuse?
Those devils, the DUBS, that wrecking crew from the Bay. After last year, last week's nightmare was like adding cayenne pepper to an open wound. Coaches have to come up with some antidote to avoid that kind of humiliation on home turf, once yes but twice!
Because sometimes I think it's not even about the coach.
Blatt didn't have much of a chance, not with the King and his subjects breathing down his neck demanding his head.
The coach doesn't get on the hardwood and play.
Here we differ buddy, coaches have to mould winning outfits...if they can't, they are out.
Anyway, what do I know.....
Dont underrate yourself dude, some of us are learning a lot from you.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom