We don't want A Rusty Curry against Spurs/OKC..on the other side Precautionary Measures to avoid further injuries is important as well..Lets see how it will pan out..In the meantime "#Strengthinnumbers" triumphs.
Howard alishakuwa kwenye vacation mood Harden akaja kutibua.. And by the way it was an offensive foul..Hii series kwangu iliisha game 3 baada ya kuona video ya kina D12 wanaacha kushangilia (tena wanaonekana kuchukia) ile last short ya James Harden.
Hii timu wanatakiwa kumuuza Dwight Howard haraka sana, otherwise atakuwa ni cancer ambayo itasambaa timu nzima.
BTW, conglats for advancing.
He might play under minutes restrictions just to warm up and get ready for the Western Finals..Sure, but you had rather want a Rusty Curry for one or two games than an injured one for the rest of the season.
Howard alishakuwa kwenye vacation mood Harden akaja kutibua.. And by the way it was an offensive foul..
hahahahahaha enzi zake akipiga dunk za super man ndio alikuwa D12 sio sasa.. Yaani kaisha mpaka amekuwa na tabia za kitoto..Jamaa ni likubwa halafu lina mizinguo ya kitoto toto aisee.
He might play under minutes restrictions just to warm up and get ready for the Western Finals..
Sisi sio wa visingizio bana... Hata Curry akikaa nje tutawapiga tu... Umesahau tumewapiga blowout 2 aiseeHiyo ni angalau, nataka tukutane mkiwa fit ili uzito wa ubingwa tutakaouchukua usiwe na visingizio vya injury.
Sisi sio wa visingizio bana... Hata Curry akikaa nje tutawapiga tu... Umesahau tumewapiga blowout 2 aisee
Cavs in 5... HamchomoiHayo maneno ni kabla, siku ukipigwa kiukweli utayasahau, mimi nataka tukutane mkiwa full! Blowout za regular season siyo issue kwa playoff.
Kwanza vukeni kigingi cha SAS/OKC ndo mje kupata kipigo.
Cavs in 5... Hamchomoi
Hahaha nimeipenda hii. Steph Curry, Mag3, na Tyta... Ole wetu. HahahaHaitakaa itokee hiyo, na ole wenu tukutane Final ndo mtajua kama msimu huu ulikuwa wa kuvunja rekodi na siyo wa kuchukua ubingwa.
Ninachompendea huyu bwana huwa akimbiagi.. teh teh teh tehHahaha nimeipenda hii. Steph Curry, Mag3, na Tyta... Ole wetu. Hahaha
Raimundo ni real fellow sportsman!.Ninachompendea huyu bwana huwa akimbiagi.. teh teh teh teh
Ninachompendea huyu bwana huwa akimbiagi.. teh teh teh teh
Raimundo ni real fellow sportsman!.
Yaani pona pona yenu ni kutoingia Fainali.
Maana hasira za kisasi mtakazokutana nazo mtachoka wenyewe.
Kwa ufahamisho tu Spurs hawakuchukua ubingwa wowote, GSW waliwatandika nyumbani kwao mchezo wa mwisho. Hakukuwa na cha Kawhi, Aldridge, Tim, Ginobili, Green, Marjanovic, Green, Tony Parker wala nini...walibebeshwa mzigo wa vikapu.I know you know it. It is pretty tough in the West. Spurs and OKC are tough teams to beat. As I have said if Spurs keep on playing this good defensively, they will take the Conference championship.
Last time CAVs walipokamia hivyo, GSW hawakuwa na huruma nao nyumbani kwao. Hadi leo Quicken Loans Arena hawana hamu na Curry and the Dub Nation. Kocha kutoka Israeli akawa ndiye victim wa kwanza, mbuzi wa kafara. Mbona tu wasahaulifu kiasi hiki? Mbona mnapenda sana ligi za mtandaoni?Haitakaa itokee hiyo, na ole wenu tukutane Final ndo mtajua kama msimu huu ulikuwa wa kuvunja rekodi na siyo wa kuchukua ubingwa.