Tukiwakosa sisi mnakumbana na Spurs... Nadhani moto wao umeuona jana teh teh teh
Kuna wakati nilidhani timu yako ni Spurs kumbe...au ilikuwa ni katika kupoteza lengo? Anyway maadam sasa kila kitu kiko wazi ila unanikumbusha rafiki yangu moja wa zamani. Kwa miaka mitano Yanga ikifungwa niliamini kabisa yeye na mimi ni Simba hadi siku Yanga wanasawazisha bao! Hiyo ilikuwa ni miaka ya 70s...kweli kuna watu wanajua kuficha mapenzi yao hasa pale timu zao hazifanyi vizuri ha ha haa!Huu mwaka wetu huu, wote watashindana lakini hawatashinda.
Kuna wakati nilidhani timu yako ni Spurs kumbe...au ilikuwa ni katika kupoteza lengo? Anyway maadam sasa kila kitu kiko wazi ila unanikumbusha rafiki yangu moja wa zamani. Kwa miaka mitano Yanga ikifungwa niliamini kabisa yeye na mimi ni Simba hadi siku Yanga wanasawazisha bao! Hiyo ilikuwa ni miaka ya 70s...kweli kuna watu wanajua kuficha mapenzi yao hasa pale timu zao hazifanyi vizuri ha ha haa!
Najua Klay na Dray hawataniangusha leo.. Iggy and Shaun Too...Dah! SAS wanatishia maisha! Hapa nasubiri game yenu, nadhani hii ya leo itakuwa defensive sana.
Hutupendi au unatuogopa?? teh teh tehMimi ni Cavs kwa sababu ya LBJ, Spurs nakuwa nawpa sapoti ili wawafunge ninyi ambao siwapendi.
Hutupendi au unatuogopa?? teh teh teh
KLAY THOMPSON...
Ingekuwa kurusha taulo inaruhusiwa hawa wangesharusha pamoja na Thunders pia... Ila sio mbaya acha tuwamalize game 4 tukutane na Spurs Curry akiwa ameshaponaDah, Quarter on over, GSW 37 against Portland's 17!
Hawa bora wangejitoa tu kwenye mashindano.
Kwa sasa sisemi, leo nasubiri comments kutoka kwigine kwa sababu timu yangu iko uwanjani...samahani sana.Dah, Quarter on over, GSW 37 against Portland's 17!
Hawa bora wangejitoa tu kwenye mashindano.
I bet you were praying for the Warriors to lose...sorry dude that ain't happening. And if the CAVs make it to the finals, you can be assured of a very horrible dream, a nightmare...imagine the King being dethroned twice, how could that be? But then ain't that what warriors are there for?Portland have come up lively this quarter!
I bet you were praying for the Warriors to lose...sorry dude that ain't happening. And if the CAVs make it to the finals, you can be assured of a very horrible dream, a nightmare...imagine the King being dethroned twice, how could that be? But then ain't that what warriors are there for?
And James said.."He would rather not reach the Finals than losing another one"..Cavs have the ticket to Finals, we will be waiting for you or SAS after sweeping our ECF opponent.
And James said.."He would rather not reach the Finals than losing another one"..
It will be epic....If he "wins" it all, I think it will be his most favorite one..
Which Team Will Be An Upset If It fails to win it All?
1.Warriors 73-9(Having the best regular season of All Time)
2.Spurs(Tied for the best home court wins In NBA History,The Best Defensive Team and The Best regular season in Franchise History)
3.Cavs(Having shattered NBA Luxury Tax Record (Super Team with Max.Guys) & hopefully no Injury Excuse this time)..BTW,With Still Dominant LBJ.