NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Huu mwaka wetu huu, wote watashindana lakini hawatashinda.
Kuna wakati nilidhani timu yako ni Spurs kumbe...au ilikuwa ni katika kupoteza lengo? Anyway maadam sasa kila kitu kiko wazi ila unanikumbusha rafiki yangu moja wa zamani. Kwa miaka mitano Yanga ikifungwa niliamini kabisa yeye na mimi ni Simba hadi siku Yanga wanasawazisha bao! Hiyo ilikuwa ni miaka ya 70s...kweli kuna watu wanajua kuficha mapenzi yao hasa pale timu zao hazifanyi vizuri ha ha haa!
 
Mimi ni Cavs kwa sababu ya LBJ, Spurs nakuwa nawpa sapoti ili wawafunge ninyi ambao siwapendi.
 
Dah, Quarter on over, GSW 37 against Portland's 17!

Hawa bora wangejitoa tu kwenye mashindano.
Ingekuwa kurusha taulo inaruhusiwa hawa wangesharusha pamoja na Thunders pia... Ila sio mbaya acha tuwamalize game 4 tukutane na Spurs Curry akiwa ameshapona
 
Dah, Quarter on over, GSW 37 against Portland's 17!

Hawa bora wangejitoa tu kwenye mashindano.
Kwa sasa sisemi, leo nasubiri comments kutoka kwigine kwa sababu timu yangu iko uwanjani...samahani sana.
 
Portland have come up lively this quarter!
I bet you were praying for the Warriors to lose...sorry dude that ain't happening. And if the CAVs make it to the finals, you can be assured of a very horrible dream, a nightmare...imagine the King being dethroned twice, how could that be? But then ain't that what warriors are there for?
 
I always do, and I hope SAS will do me that favor.

Cavs have the ticket to Finals, we will be waiting for you or SAS after sweeping our ECF opponent.
 
Which Team Will Be An Upset If It fails to win it All?
1.Warriors 73-9(Having the best regular season of All Time)
2.Spurs(Tied for the best home court wins In NBA History,The Best Defensive Team and The Best regular season in Franchise History)
3.Cavs(Having shattered NBA Luxury Tax Record (Super Team with Max.Guys) & hopefully no Injury Excuse this time)..BTW,With Still Dominant LBJ.
 
Labda SAS ndo haitakuwa upset kubwa, ila kwa Cavs na GSW it will be.
 
Back
Top Bottom