NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Tatizo la OKC hawako mind settled (kwa mtazamo wangu), Russel ana overdo mpaka naharibu na ile team work inakuwa haijakaa vizuri.

All in All kutakuwa na competitive Play-offs kwa West kati ya OKC na SAS, GSW na Clipers then Finals kati ya GSW na SAS (hopeful).
Malizia Finals ya GSW na Cavs... OKC wataipa trouble sana Spurs.. and It can be a 7 game series..
 
  1. Steph is on pace to make 40 more 3s in 2 seasons than Larry Bird did in his 13 years.
  2. Curry has already hit more in that span than Michael Jordan did in his 15 years.
  3. Curry has nailed more 3s than all the Bucks combined since thanksgiving last year!
  4. Curry has made as many deep 3s as 10 NBA teams combined.
  5. Steph Curry is shooting 53.5 percent on shots between 28 feet and the half-court line (47 feet).
  6. Steph is scoring 50.4 points per 48 minutes in fourth quarters this season!
  7. Curry has improved his scoring average by 6.1 and efficiency by 3.3 since last season!
  8. By training his mind to process faster, Curry frees up brain space for locating the rim.
  9. Curry is on pace to hit more than 400 3s this season...this is equivalent to hitting 103 home runs in Baseball or 73 touchdowns in Football!
  10. Steph Curry is pure joy and fun to watch; he is a magician with the ball.
  11. Curry has higher average interest number on Google Trends than LeBron James this year!
  12. Steph's every on-court action screams that scrawny little folks can play the game, too...Not everyone can dunk, but everyone can pull up from 30 feet!
  13. "Curry had them red, killer eyes, the eyes of a killer." -- Speights on a 40-point performance from Curry, which included eight 3s, in a win at Charlotte.
  14. Steph forced NBA 2K to reprogram its software to compensate for Curry's performance!
  15. Curry is so baby-faced that he got carded in 2014 ... at a California Pizza Kitchen!
  16. Steph, returning to Cleveland on Jan. 18 this year, was kind enough to wish the Arena well...!
  17. Curry is a member of an exclusive Club 40-50-90...his is 45.6-50.1-90.4!
  18. Stephen Curry's jersey is the top seller in 47 different states...except LeBron (Ohio), Durant (Oklahoma) and Bryant (Delaware)
  19. And so on...

Mahaba niue
 
Mahaba niue
Maskini mdudu wa chooni uko na full stress..

Kwenye football timu lako linavurunda na huko timu usiyoipenda inakuumiza kweli..

Mdudu wa chooni loss ya Wolves ulipiga kelele humu siku nzima.. Mdudu wa chooni haya nenda google ukatafute illegal screens za Green teh teh teh teh
 
Mahaba niue
Je ni uongo? Michezo mingine huwa naitazama tu kwenye TV ila kwa huu wa Jumatano tarehe 13 April 2016, nitakuwa uwanjani Oracle, Oakland, kushuhudia na kuwa sehemu ya historia. Ni tukio ambalo inawezekana lisishuhudiwe tena kwa miaka mingi ijayo. Siku hiyo rekodi karibia kumi zitavunjwa...je Nzi, hungependa kuwa sehemu ya hii historia?
 
Je ni uongo? Michezo mingine huwa naitazama tu kwenye TV ila kwa huu wa Jumatano tarehe 13 January 2016, nitakuwa uwanjani Oracle, Oakland, kushuhudia na kuwa sehemu ya historia. Ni tukio ambalo inawezekana lisishuhudiwe tena kwa miaka mingi ijayo. Siku hiyo rekodi karibia kumi zitavunjwa...je Nzi, hungependa kuwa sehemu ya hii historia?

Sure mkuu, kawakilishe.
Hapa nadhani ulimaanisha April.
 
Sure mkuu, kawakilishe.
Hapa nadhani ulimaanisha April.
Sawa, nilikosea...
Flashback, May 2015...Huu ni mfano tu katika yaliyosemwa na haters wa GSW!

Don't sleep on the Grizzlies now.

They can give anyone a run for their money.

So far they've turned Stephen Curry into Stephanie Curry:becky::becky::becky::becky:.

Per some [bush league] pundits Memphis was supposed to be swept.

Heheheeee ain't happening.

Fast forward to April 2016...

Siku hizi Nyani Ngabu kakacha kuingia humu...aliyekuwa akimkejeli kwa kumuita Stephanie Curry::becky::becky::becky kawa tishio NBA, kawa baby-faced assasin, heri ukutane na simba ha ha haaa!
 
Sawa, nilikosea...
Flashback, May 2015...Huu ni mfano tu katika yaliyosemwa na haters wa GSW!

Fast forward to April 2016...

Siku hizi Nyani Ngabu kakacha kuingia humu...aliyekuwa akimkejeli kwa kumuita Stephanie Curry::becky::becky::becky kawa tishio NBA, heri ukutane na simba ha ha haaa!

Wengine sisi ni mashabiki sugu, upinzani ni muhimu kwenye michezo na ndo maana pamoja na ku-acknowledge ubora wa GSW bado siwezi kukaa na kusema eti atachukua ubingwa kirahisi, (so far hatachukua mwaka huu, record inamtosha).

Kuna tatizo la watu kutopenda kuwa criticized, namsifu sana Nzi kwa kuendelea kuwepo kwenye hili jukwaa maana imekuwa kila akiichallenge tu GSW watu wanamwakia kama nini.

All in All, ni mchezo tu.
 
Ni ushabiki tu Raimundo, sikujua watu wengine wanayachukulia tunayoandika so seriously! Wengine tunachangamsha tu jukwaa...with a light touch too, kama burudani. Mwambie na Nzi asituchukulie namna hiyo...eti watu wanamwakia! Jamani ni ushabiki tu wa kiutani, hakuna sababu ya mtu yeyote kuzira. Naomba nichukue jukwaa hili kuomba radhi kama kwa michango yangu namkwaza mtu, hiyo si nia yangu.

Kwanza hiyo GSW au hata hao wachezaji wananihusu nini zaidi ya kuwa napenda mchezo wao? Kwani wakishinda au wakishindwa, maisha hayaendelei? Au wengine mmezama kiasi kwamba mkitaniwa kidogo tu mnaona mnawakiwa. Kwa upande wangu napenda tu kuchokoza mijadala na ni mwana michezo through and through...hatufahamiani tu lakini wengine tuliwahi kuwakilisha taifa katika michezo ya kimataifa.
 
Ha ha! Siyo wewe mzee! Kuna baadhi ya watu wazima ambao hawajakuwa! Lakini yote heri...

Nangojea playoffs kwa hamu sana...nafikiri playoffs za mwaka huu zitakuwa kali sana...
 
Ni kweli ni michezo tu, ninakuelewa mkuu. Hope umenielewa pia.
 
Ha ha! Siyo wewe mzee! Kuna baadhi ya watu wazima ambao hawajakuwa! Lakini yote heri...

Nangojea playoffs kwa hamu sana...nafikiri playoffs za mwaka huu zitakuwa kali sana...

Natamani East itokee Miami akutane na Cavs kwenye huu mzunguko, sema tu Bosh ni majeruhi lakini nadhani itakuwa game ngumu sana kwa Cavs.
 
Ha ha! Siyo wewe mzee! Kuna baadhi ya watu wazima ambao hawajakuwa! Lakini yote heri...

Nangojea playoffs kwa hamu sana...nafikiri playoffs za mwaka huu zitakuwa kali sana...
Playoffs siku zote zimekuwa kali, ni vile tu wakati mwingine tunazama sana kwenye ushabiki. Za mwaka jana zilikuwa kali sana na wako watu waliandika hivi hivi ulivyoandika lakini baada ya playoffs kuanza na matumaini yao kuzimika wakapoteza hamu. Baada ya muda wakayahamisha kwa michezo ya fainali, kumbeee!

Unakumbuka mwezi Desemba 25 mwaka jana GSW walipokutana kwa mara ya kwanza msimu na Cleveland hapa Oracle? Yapo matumaini yalizimwa halafu yakaelekezwa kwa Spurs. Spurs ilipolambwa Januari 18, matumaini yakabaki yanaelea, wenyewe wasijue pa kuyaelekeza. Leo yanaelekezwa kwenye playoffs, ha ha haaa!
 
Ni ushabiki tu Raimundo, sikujua watu wengine wanayachukulia tunayoandika so seriously! Wengine tunachangamsha tu jukwaa...with a light touch too, kama burudani. Mwambie na Nzi asituchukulie namna hiyo...eti watu wanamwakia! Jamani ni ushabiki tu wa kiutani, hakuna sababu ya mtu yeyote kuzira. Naomba nichukue jukwaa hili kuomba radhi kama kwa michango yangu namkwaza mtu, hiyo si nia yangu.

Kwanza hiyo GSW au hata hao wachezaji wananihusu nini zaidi ya kuwa napenda mchezo wao? Kwani wakishinda au wakishindwa, maisha hayaendelei? Au wengine mmezama kiasi kwamba mkitaniwa kidogo tu mnaona mnawakiwa. Kwa upande wangu napenda tu kuchokoza mijadala na ni mwana michezo through and through...hatufahamiani tu lakini wengine tuliwahi kuwakilisha taifa katika michezo ya kimataifa.
teh teh teh teh kuna wakati mpaka wakasema huu uzi ni wa Warriors pekee unaboa.. As if tulikataza mtu kuleta matokeo ya timu zingine... Kuna mwingine mpaka alisusa na kuamua kuleta NFL kwenye uzi wa NBA ili avuruge tu.. Na wengine huwa wanakosa kabisa sifa za ushindani wa kishabiki... Wao wanataka ku'attack tu ila ukijibu mashambulizi unaambiwa sijui unajifanya unajua sana and all that na mwisho kabisa eti mtu anasusa kukujibu teh teh teh teh... I really appreciate Raimundo he is really a sportsman, yeye sio mtu wa kuvizia eti timu imefungwa ndio aje kutapika humu.. He is always here, GSW ashinde ama isishinde yeye yupo tu kujibu mashambulizi kiutu uzima.. Majuzi nimeshangaa sana mtu aliyeamua kususa kuchangia hapa kwa kusema ligi haina challenge na haivutii kumbe anasoma kimya kimya na nikashangaa baada ya Wolves kushinda alikuja humu kuponda teh teh teh teh...

Itabidi sasa msimu ujao tuwaache wafungue wao uzi isije tukaonekana Warriors fans tuna shobo sana..
 
Playoffs siku zote zimekuwa kali, ni vile tu wakati mwingine tunazama sana kwenye ushabiki. Za mwaka jana zilikuwa kali sana na wako watu waliandika hivi hivi ulivyoandika lakini baada ya playoffs kuanza na matumaini yao kuzimika wakapoteza hamu. Baada ya muda wakayahamisha kwa michezo ya fainali, kumbeee!

Unakumbuka mwezi Desemba 25 mwaka jana GSW walipokutana kwa mara ya kwanza msimu na Cleveland hapa Oracle? Yapo matumaini yalizimwa halafu yakaelekezwa kwa Spurs. Spurs ilipolambwa Januari 18, matumaini yakabaki yanaelea, wenyewe wasijue pa kuyaelekeza. Leo yanaelekezwa kwenye playoffs, ha ha haaa!
Nilikuwa natamani Houston wakamate 8 seed tukutane nao kuliko hawa Utah... Hawa watoto wametusumbua sana kwenye regular season hata kama tuliwafunga zote.. Kwenye Play offs watatuchosha kuliko vile tungecheza na Rockets..

Spurs nae ana balaa.. Anakutana na Dallas wako moto kweli sasahivi, alafu aje apambane na OKC... Aiseee acha tu hiyo njia yake ngumu mno.. Alafu kule East nako kuna balaa upande wa Cavs, acheze first round na Indiana/Pistons alafu second round akutane na Boston/Miami... Aiseee na yule Kyrie glass jamaa wanaweza wasiguse finals ukizingatia Final ya East wanakutana na wababe wao Toronto..
 
Nafikiri utakubaliana nami kwamba regular season na playoffs ni 'league' mbili tofauti. Mentalities za timu na wachezaji ubadilika kwenye playoffs, ambako wanakuwa more focused na kujaribu kuepuka makosa. Kwa hiyo usitarajie njia nyepesi kwa GSW, kwanza apite West...mengine yatafuata. Ni vivyo hivyo kwa Cavs, napo East siyo kurahisi kama watu wanavyodhani kwamba Cavs ata sweep through...
 
Nilikuwa natamani Houston wakamate 8 seed tukutane nao kuliko hawa Utah... Hawa watoto wametusumbua sana kwenye regular season hata kama tuliwafunga zote.. Kwenye Play offs watatuchosha kuliko vile tungecheza na Rockets..

Spurs nae ana balaa.. Anakutana na Dallas wako moto kweli sasahivi, alafu aje apambane na OKC... Aiseee acha tu hiyo njia yake ngumu mno.. Alafu kule East nako kuna balaa upande wa Cavs, acheze first round na Indiana/Pistons alafu second round akutane na Boston/Miami... Aiseee na yule Kyrie glass jamaa wanaweza wasiguse finals ukizingatia Final ya East wanakutana na wababe wao Toronto..

East pia ni kugumu, make ikitokea Miami akakutana na Cavs kutachimbika, I wish Bosh angepona kwenye hizi playoffs.

Boston atasumbua tu lakini hawezi kukaza kwa Cavs, labda labda this time ATL anaweza kusumbua tofauti na mwaka jana.
 
Mkuu hata bila ya Bosh watapata shida... Kumbuka mara zote Cavs anapigwa na Miami this season Bosh hakuwa uwanjani.. Boston nao wasumbufu, wana a young team na defense yao inajitahidi.. Hii first round ya Boston vs Miami na LAC vs Portland nadhani ndizo zitakuwa first round za kuvutia zaidi..
 
Wasiwasi wangu bila Bosh wanaweza kushindwa kuvuka round za mwanzo, jamaa ni factor kubwa kwa ushindi Miami.
 
Wengine sisi ni mashabiki sugu, upinzani ni muhimu kwenye michezo na ndo maana pamoja na ku-acknowledge ubora wa GSW bado siwezi kukaa na kusema eti atachukua ubingwa kirahisi, (so far hatachukua mwaka huu, record inamtosha).

Kuna tatizo la watu kutopenda kuwa criticized, namsifu sana Nzi kwa kuendelea kuwepo kwenye hili jukwaa maana imekuwa kila akiichallenge tu GSW watu wanamwakia kama nini.

All in All, ni mchezo tu.
Na ndio maana nshawahi kusema (kama sijawahi, bas leo ntawaambieni), To you, Bros... Mag3, Tyta, Stephen Curry, Raimundo, Nzi, @Alegria de Povo and other regulars... From one sportsman to another... I tip my hat to you, fellas!.

You are true sportsmen. Always here no matter the outcomes to our favorite teams. No matter the "bandwagoning", no matter the "you-haters". You are always true to the teams y'all rooting for. And for that, toast to this thread.

May the best team win, partners!
 
Back
Top Bottom