Raimundo is a true sportsman, he can take and give unlike those that only appear when things go their way. Juzi hapa
Nzi kaja kusifia CAVs walivyopiga
20 3-pointers katika game na kufikia rekodi za nyuma lakini jana GSW (without Curry) 3-pointers zilinyesha kama mvua ya mawe hadi wakaweka rekodi rekodi mpya,
21 kutoka kwa wachezaji zaidi ya watano tofauti, lakini jamaa kimya kama vile hakuchungulia.
Nasikia sasa wengine tunaitwa GSW bandwagon, sawa bwana, lakini kombe liko Bay Area, California, limetulia linasubiri mwisho wa
playoffs. Kama at
67-15 tuliweza kulitwaa kombe msimu uliopita, kwa nini tushindwe at
73-9 msimu huu?
Raimundo kaniasa niache ku-
live in the past. Anachosahau ni kuwa
the past shapes the future! Where would we be without the past? Moreover history is the best teacher.
NB: Easy guys, this is all with a light touch...moreover it is just a game!