NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

This is very unGSW-like.

What's the matter?

And what does it portend?

Kaka kama umetazama gemu za GSW...tokea walipoanza kukutana na Portland walikuwa hawako poa defensively...hata ile game 2 walioifunga Thunder ilikuwa ni uzembe wa Thunder tu Q3...

Sijui jamaa imekuaje wanastruggle hivi...
 
It portends major breakdown...I guess you have noticed Coach Kerr smiling. The Warriors Engine has knocked, it requires complete works.

They better take most if not all of their starters out for this one is over.

An annihilation of titanic proportions. A shellacking.....a drubbing.....heck....just pick your adjective.
 
Why are you even watching/ following this game?

Is your pain tolerance threshold that high?

Teh teh teh....
I happen to be an all-timer dude and this is one game am enjoying terribly, you wanna know why? I guess it is hightime my team tasted some of the medicine they have been prescribing. After this they should be able to get back to normal...to earth!
 
I happen to be an all-timer dude and this is one am enjoying terribly, you wanna know why? I guess it is hightime my team tasted some of the medicine they have been prescribing. After this they should be able to get back to normal...to earth!

Not a fair-weather fan huh?

I can appreciate that.
 
Not a fair-weather fan huh?

I can appreciate that.

Yaani siku GSW akitolewa mazima nadhani utarudi kutupa kampani mkuu.

Hata hii siyo mbaya, maana humu ni uvumilivu wa kuambiwa tu kwamba eti tutakuwa blown out kama kwenye regular season.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani siku GSW akitolewa mazima nadhani utarudi kutupa kampani mkuu.

Hata hii siyo mbaya, maana humu ni uvumilivu wa kuambiwa tu kwamba eti tutakuwa blown out kama kwenye regular season.

Mi wala sipo dhidi ya yeyote bana hususan baada ya timu yangu kutolewa.

Labda mara moja moja sana ndo ntakuwa nachungulia humu.
 
I bore it to the bitter end and OKC wins 133-105...well played Oklahoma, you pretty well deserved it!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii game ijayo itakuwa tamu sana kwa OKC kutaka kuhakikisha kwamba GSW hawaichukuwi tena home court advantage huku GSW wakitaka kututhibitishia wapenzi wa BB ubora wa timu yao. Tuisubiri hiyo game Mkuu.

Nasubiri game ijayo come baki yao, wazee wa kukam baki.
 
Mi wala sipo dhidi ya yeyote bana hususan baada ya timu yangu kutolewa.

Labda mara moja moja sana ndo ntakuwa nachungulia humu.

Nakupata mkuu, nimeona tu kama kuna trend hasa kwenye hizi finals kila GSW akikaa unaibuka.

Utasema tu siku wakiondoka mazima, ushabiki haujifichi mkuu.
 
Kaka kama umetazama gemu za GSW...tokea walipoanza kukutana na Portland walikuwa hawako poa defensively...hata ile game 2 walioifunga Thunder ilikuwa ni uzembe wa Thunder tu Q3...

Sijui jamaa imekuaje wanastruggle hivi...

Waliwekeza nguvu kwenye kuvunja rekodi.
 
Kila la heri huko uendako Steph Curry, wengine tutakuwa humu humu kwa sababu moja tu, it ain't o'er til it's o'er. See ya next season 2016/17

Ha ha ha, juzi Tyta aliniambia nitulie sindano iingize dawa, naona hizi dawa ni zamu kwa zamu. Steph Curry hana moyo wa kijeshi. Ila ninaamini kama OKC wakishinda na wakaenda kumshinda Cavs atarudi humu.

GSW series ishaisha hii.
 
Lahaula! 105 kwa 67, hiki ni zaidi ya kipigo cha mbwa mwizi...teh teh teh!!

Ha ha ha, hawa hawafungiki game 2 mfululizo, dawa yao ni hii, unawapiga leo wao wanakupiga kesho, keshokutwa unawapa, na wao hivyo hivyo mtondo. Mwisho wa siku 4-3 wanaaga bila kufungwa 2 mfululizo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ha ha ha, juzi Tyta aliniambia nitulie sindano iingize dawa, naona hizi dawa ni zamu kwa zamu. Steph Curry hana moyo wa kijeshi. Ila ninaamini kama OKC wakishinda na wakaenda kumshinda Cavs atarudi humu.

GSW series ishaisha hii.
it aint over until it's over.............
CjHIAtBVAAArgyd.jpg
 
Nakupata mkuu, nimeona tu kama kuna trend hasa kwenye hizi finals kila GSW akikaa unaibuka.

Utasema tu siku wakiondoka mazima, ushabiki haujifichi mkuu.

Honestly...there's nothing hidden.

Mbona waliposhindwa na Rockets na Blazers hukuniona?

Au zile losses hazihesabiki na zinazohesabika ni za OKC tu?
 
Back
Top Bottom