NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

ClXlesGUsAMutOy.jpg
 
Hopefully!

Can't imagine that clown in the Oval Office.

But, as we saw tonight, anything can happen.
Hahaha my fellow kindred spirit, here again sharing my thoughts aloud!. First time in my life as a sports fan, moyo hauniumi kwa kupoteza huku. If there's any man fate has redeemed accordingly, it's LeBron James. Acha sasa na yeye aoge katika media spotlight again, and a positive one I mean.
 
GSt. wa mwaka huu wamenikumbusha NE Patriots wa 2007.

Both failed to close the deal...[though I must admit that loss to the New York Football Giants still hurts. Damn that David Tyree].
 
GSt. wa mwaka huu wamenikumbusha NE Patriots wa 2007.

Both failed to close the deal...[though I must admit that loss to the New York Football Giants still hurts. Damn that David Tyree].
Sasa count me in that same situation. Yaan ntaweza kusahau kufail huku kwa GSt lakini mpaka leo nimeshindwa kupona majeraha na hate nlionayo juu ya Giants. Yan kila nkikumbuka naona ka jana vile. Mpaka leo nkijua tunacheza na Giants sina hamu na kujua matokeo na naombeaga siku zote tusikutane nao SB coz yule dogo Eli ka vile yuko tayari acheze ujinga na timu zingine lakini sio Pats na TB12.
 
Shit!

ESPN SportsCenter washaanza kulinganisha Dubs na Pats.

But that was inevitable.
 
Nuff respect kwa Raimundo ...

Kuna nyakati nilikuwa namwona kama mwendawazimu [alivokuwa anaamini]

Hahahaaaa......

Mkuu hawa GSW wanaongea sana, in short they had no respek kwa timu wanazozifunga na kwa mashabiki pinzani.

Na ukitaka uonekane mbaya ponda timu yao ya Netball uone.
 
Hizi zama za social media acha kabisa yaani.

Nakumbuka walivyom-drag Cam Newton baada ya kushindwa kwenye Super Bowl.

Sasa Ayesha atakoma....alizidi kiherehere.

Mbona mwenzake Savanna [mke wa LeBron] huwa anauchuna tu...

Nilimsikia Stephen A Smith juzi kwenye First Take akisema ingekuwa ni Savanna kafanya hivyo vyombo vyote vya habari vingemshukia Lebron, ila kwa sababu Curry ni mtoto pendwa wa NBA kaachwa na hata hajasemwa chochote juu ya mke wake kuropoka ropoka.
 
Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.

Nimeokoa shilingi yangu, as you know nilikuwa nimeahidi kumlipia shabiki mmoja wa GSW u-premium membership humu JF, na probably ungekuwa wewe au Tyta.

Hasta la vista.
 
GSW lost 9 games in entire regular season and lost 9 games out of 24 play off games....Thats why i rarely watch regular season!
 
Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.
Kwa jinsi GSW walivyokuwa wanacheza, mdomo wa mashabiki wao, ukija humu na kusema CAVS watachukua ubingwa utaonekana mwehu.....Mimi nilikuwa nasoma humu kila siku michango ya watu na kupita kimya. Jinsi Nzi alivyokuwa anapambana na wapenzi wa GSW haikuwa rahisi kwa wapenzi wa CAVS....But may be someone was 'crowned' GOAT a little too early....
 
Back
Top Bottom