NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Duh, naona msimu wa Heartbreaks unaendelea. Duh asee sijui na mimi niende "sabbatical" ya muda katika masuala ya michezo. Yani kilichomtokea Messi ni kibaya kuliko cha GSt asee.
Mnisamehe nimejikuta nimeleta majonzi yangu mengine huku. Coz nyie ndo wanafamilia wangu mnaonijua katika michezo kwa upande huu wa JF nadhani mtanielewa.
 
Ha ha ha pole sana, siku zile wakati tuko down kwa 3-1 nilikuwa nalalamika juu ya Liverpool FC na Simba Sports Club kuniangusha, nikawa naomba kina Lebron basi kama ni kuaga isiwe kwa 4-1.

Hatimaye walinitoa jamaa. Pole sana.
 
Unajua sina uhakika ni mipango ya jamaa, ila angeweza hata kwenda Europe, China au Philippines. Huko angeweza kufanya vizuri na akaingiza chochote au akarudi tena NBA.

Ila msimu wote ulioisha hakuwa na timu na alikuwa yupo tu kitaa. Kama yuko serious inabidi huu msimu awe na timu.
alipata chance ya kucheza Nje ya US akakataa,Anyway,wacha tuamini ana mpango madhubuti wa kurudi NBA...
 
Ha ha ha pole sana, siku zile wakati tuko down kwa 3-1 nilikuwa nalalamika juu ya Liverpool FC na Simba Sports Club kuniangusha, nikawa naomba kina Lebron basi kama ni kuaga isiwe kwa 4-1.

Hatimaye walinitoa jamaa. Pole sana.
Mimi nilikufa akina Curry wakanizika. Yaani huko kote tupo wote mkuu. Yule Milner walikuwa wanamsifia and second half he was chasing the shadows tu. I really hate English midfielders and we've got to improve that area. It's crappy
 
Duh, naona msimu wa Heartbreaks unaendelea. Duh asee sijui na mimi niende "sabbatical" ya muda katika masuala ya michezo. Yani kilichomtokea Messi ni kibaya kuliko cha GSt asee.
Mnisamehe nimejikuta nimeleta majonzi yangu mengine huku. Coz nyie ndo wanafamilia wangu mnaonijua katika michezo kwa upande huu wa JF nadhani mtanielewa.
Pole mkuu..Kama wewe ni mshabiki wa GST,Messi,Simba,England na Arsenal inakupasa ujipe sabbatical,tena ya mwezini............waay far from planet Earth...
..Nilimuonea sana huruma Messi mpaka alipotoa kauli hii...''Inauma Kupoteza katika Fainali''...daaamn...Nikakumbuka huyu jamaa (Mimi kama mshabiki wa Man Utd) alituliza mara mbili UEFA..kimoyomoyo nikajisemea..well,thats how we felt back in 09 and 11.
 
Nikiikumbuka ile flying header iliyomstaafisha Van Der Sir hawa napata uchungu sana... Ila hizi Finals za Copa America zimenifanya nimuonee huruma sana Messi.. Messi na Ronaldo watabaki kuwa wachezaji bora pekee wa muda wote ambao hawakufanikiwa kwa lolote kwenye timu za nchi zao...

Mimi mwaka huu kwenye mpira nilistaafu kabisa, kwahiyo wala huko sijaumia.. Nimeumia na Warriors yangu tu.
 
aiseeee hizi deals za NBA so far mbona sizielewi. Mike Conley the highest paid ever NBA player??????? hizi salary caps kupanda imekuwa tabu sasa aseeeee daaahhh.
 
The Warriors will be paying Curry, Draymond Green and Klay Thompson a combined $44.1 million this season.

Combined, the Grizzlies will be paying Conley and Chandler Parsons -- both agreed to deals Friday -- $48.8 million next season.

Conley, DeMar DeRozan, Drummond and Beal agreed to contracts that will total up to $547.4 million.

That is roughly equivalent to the combined guaranteed money of the current QB contracts of: Andrew Luck, Eli Manning, Ben Roethlisberger, Cam Newton, Tony Romo, Drew Brees, Tom Brady, Jared Goff, Sam Bradford, and Kirk Cousins.

Aiseeee hahahhahahaha. Maisha ya Free Agency ya mwaka huu yana maajabu kuliko hata season ya NBA iliyomalizika. Anyway it is reported that Curry will be one among the least paid players in the NBA coming Next Season. hahahahha.

cc Steph Curry Nzi Raimundo Tyta
 
$ 153 M, $ 30 M a season to a player that never made an All Star team.. Kwahili nahisi kabisa hapa lazima KD arudi OKC kwa mwaka mmoja zaidi akisubiri salary cap ipande zaidi mwakani na yeye asign deal la hatari... Sijui na Steph atasign deal la pesa ngapi hiyo mwakani.. Aisee Al Horford nae anavuta $ 113 M four years deal.. Daah wakati kama huu ndio namkumbuka ndugu yetu Hasheem..
 
The Warriors will be paying Curry, Draymond Green and Klay Thompson a combined $44.1 million this season.

Combined, the Grizzlies will be paying Conley and Chandler Parsons -- both agreed to deals Friday -- $48.8 million next season.

Conley, DeMar DeRozan, Drummond and Beal agreed to contracts that will total up to $547.4 million.

That is roughly equivalent to the combined guaranteed money of the current QB contracts of: Andrew Luck, Eli Manning, Ben Roethlisberger, Cam Newton, Tony Romo, Drew Brees, Tom Brady, Jared Goff, Sam Bradford, and Kirk Cousins.

Aiseeee hahahhahahaha. Maisha ya Free Agency ya mwaka huu yana maajabu kuliko hata season ya NBA iliyomalizika. Anyway it is reported that Curry will be one among the least paid players in the NBA coming Next Season. hahahahha.

cc Steph Curry Nzi Raimundo Tyta
hahahahahahaha Curry kama namwona vile... MVP ndiye analipwa kiduchu kuliko karibia wachezaji wote akiacha Rookies.. Ila mwakani atavuta mpunga wa kufa mtu..
 
Je KD atakubali kwenda East (Celtics) akapambane na Lebron au atabaki West achague kupambana na Warriors ama kujiunga nao... Hili swali litajibiwa usiku huu au kesho mchana..
 
The Warriors will be paying Curry, Draymond Green and Klay Thompson a combined $44.1 million this season.

Combined, the Grizzlies will be paying Conley and Chandler Parsons -- both agreed to deals Friday -- $48.8 million next season.

Conley, DeMar DeRozan, Drummond and Beal agreed to contracts that will total up to $547.4 million.

That is roughly equivalent to the combined guaranteed money of the current QB contracts of: Andrew Luck, Eli Manning, Ben Roethlisberger, Cam Newton, Tony Romo, Drew Brees, Tom Brady, Jared Goff, Sam Bradford, and Kirk Cousins.

Aiseeee hahahhahahaha. Maisha ya Free Agency ya mwaka huu yana maajabu kuliko hata season ya NBA iliyomalizika. Anyway it is reported that Curry will be one among the least paid players in the NBA coming Next Season. hahahahha.

cc Steph Curry Nzi Raimundo Tyta

Unajua tatizo ni mfumo wa ligi, ninaamini ingekuwa base ni demand and supply bila restrictions watu wangelipwa kulingana na viwango.

Imagine Curry anacholipwa, au LBJ alichokuwa analipwa akiwa Miami huku akizidiwa pay na watu kibao! Kobe pekee ndo wachezaji wa hivi karibuni wamelipwa equivalently.
 
Ha ha ha! Durant ametisha, ngoja tuone ni jinsi gani timu zingine zitajipanga kupambana na GSW!

Noma sana, nadhani hii itampa faraja sana Steph Curry maana alimlilia sana KD humu jukwaani.

All in All, nothing is Guaranteed.
 
Oh and happy 4th everyone.

images
images
images
 
Ha ha ha! Durant ametisha, ngoja tuone ni jinsi gani timu zingine zitajipanga kupambana na GSW!

Noma sana, nadhani hii itampa faraja sana Steph Curry maana alimlilia sana KD humu jukwaani.

All in All, nothing is Guaranteed.

Je, Durant naye atapondwa kama alivyopondwa LeBron kwa kudandia gravy train la GSt.?
 
Nasema hapa guys.... The warriors are going for a 75-7 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. I'm happy sana. Haya LeBron atengeneze huko timu na kina Wade
 
Anybody watching SportsCenter right now?

Stephen Anthony Smith anaponda vibaya mno hiyo move...
 
Back
Top Bottom