Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa Shilingi za kitanzania Billion mbili na unusu(Tsh.2.5bill)
NBC Bank itadhamini ligi kwa muda wa miaka mitatu
Hivyo kila mwaka itatoa Tshs 2.5bill bila VAT kwa muda wa miaka mitatu.
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?