NBC Bank Mdhamini mkuu Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022

sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Lengo la kuwa mdhamini ni kuitangaza brand na sikwamba una ukubwa kiasi gani, ili mradi unaweza kulipa ada ya udhamini
 
sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Huenda benki zingine hawakuwa miongoni mwa washindana
 
Hivyo conflict of interest Bado ipo lakini wataisolve kwa kuamua moja
Nadhani Hili swala lipo kisheria boss ndo maana hata Vodacom waliporudi second time karia aliropoka kua hataki kuona team ikibadili rangi ya logo ila bado alishindwa kuna sheria ya FIFA kulinda Utamaduni wa vilabu vya mpira wa miguu.

NBC ndo atalazimika kubadili rangi ya logo kwa klabu chache.
 
Inasemekana Yanga hawawezi bishana na bodi ya ligi hivyo itawabidi tu.
Hilo swala labda yanga waamue kukubali ila yanga wanayo haki kisheria kukataa.

Fwatilia udhAmini wa Vodacom second time karia alisemaje na nini kilikuja kutokea.

Hili swala sio Tanzania tu lipo sehemu nyingi duniani.
 
Nadhani Hili swala lipo kisheria boss ndo maana hata Vodacom waliporudi second time karia aliropoka kua hataki kuona team ikibadili rangi ya logo ila bado alishindwa kuna sheria ya FIFA kulinda Utamaduni wa vilabu vya mpira wa miguu.

NBC ndo atalazimika kubadili rangi ya logo kwa klabu chache.
Ngoja tusubiri tuone lakini mbona Yanga hua wanavaa jezi zenye Logo nyekundu
 
Kwani NBC hana vigezo?
sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Maelezo yako yanaonyesha hauni

Maelezo yako yanaonyesha hauna elimu..
Wew acha uswahil apa ongea na unikosoe kwa data na kwa point ungekuwa smart ungenipa hiyo elimu kuwa iko Hiv na Hiv na ungesema wameingia mkataba wa miaka flan wenye thaman ya shilingi kazaa
 
Back
Top Bottom