Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Ligi itakuwa na mdhamini na Rangi NBC watabadilishaKipi bora ibadili rangi au ligi isiwe na mdhamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi itakuwa na mdhamini na Rangi NBC watabadilishaKipi bora ibadili rangi au ligi isiwe na mdhamini
Kumbuka hao nbc wanakadi za viza so wateja wao wanaweza kutoa mahala popote pale,halafu ukisikia maana ya udhamini hapo itawabidi izo timu zote zinazoshiriki,na wachezaji wao wafungue akaunt hapo nbc so biashara zao zitapanuka na hata uongezwaji wa matawi pia utafanyikasijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Lakini ngoja tusubiri maana mda huu ndio uzinduzi wa logo rasmiMkuu Kasomi hilo mbona limeisha kwenye kikao cha jana jioni kati ya Bodi ya ligi, TFF na viongozi wa Yanga
Twiga hana namna inabidi awe Mweusi, na mlima Kilimanjaro utakuwa na rangi ya kijani
Hatuwezi kuvunja misingi ya klabu iliyowekwa na waasisi wake na lengo lilikuwa kupatikana kwa uhuru wa nchi tulionao leo hii
waulize vodacom, mbona ile logo yao ni nyekundu lakini kwa yanga ilikua nyeusi?Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
Swali ambalo unatakiwa kujiuliza ni mwakani team inayomilikiwa na bank ya DTB inapanda ligu kuu,Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa Shilingi za kitanzania Billion mbili (Tsh.2bill)
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
Mbona simba huvaa logo za CAF zenye njano na kijaniwaulize vodacom, mbona ile logo yao ni nyekundu lakini kwa yanga ilikua nyeusi?
au hata TBL kupitia bia ya kilimanjaro.
Yanga haitakaa ivae kitu chenye rangi nyekundu hata siku moja, same apply to Simba kuvaa njano/kijani.
watatulizwa tu na hela zao.
Mkuu hilo halihitaji four figure au kamusi ili uelewe, hata akitambulisha logo yake ina Twiga mwekundu ila Wananchi hilo kwetu halituhusu na Hamuwezi kutangazwa au kujulishwaLakini ngoja tusubiri maana mda huu ndio uzinduzi wa logo rasmi
Ndio maana wadhamini wa nyuma huacha kudhamini sababu rangi ni moja ya Nembo ya kampuni husika hivyo ukibadili inaleta mkanganyiko.Mkuu hilo halihitaji four figure au kamusi ili uelewe, hata akitambulisha logo yake ina Twiga mwekundu ila Wananchi hilo kwetu halituhusu na Hamuwezi kutangazwa au kujulishwa
Rejea wadhamini wote huko nyuma wa ligi
Yanga ni nani kwani....hv ikitokea kila team ikitaka twiga awe rangi ya team yake itakuaje,yeye yanga agome kwa ukubwa gani alionao?Hilo swala labda yanga waamue kukubali ila yanga wanayo haki kisheria kukataa.
Fwatilia udhAmini wa Vodacom second time karia alisemaje na nini kilikuja kutokea.
Hili swala sio Tanzania tu lipo sehemu nyingi duniani.
Hivi kwa mfano GSM akakengeuka akasema anataka logo hii kwenye jezi itakuaje ?Ndio maana wadhamini wa nyuma huacha kudhamini sababu rangi ni moja ya Nembo ya kampuni husika hivyo ukibadili inaleta mkanganyiko.
Source ya hii taarifa yako ni ipi?Ndio maana wadhamini wa nyuma huacha kudhamini sababu rangi ni moja ya Nembo ya kampuni husika hivyo ukibadili inaleta mkanganyiko.