Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wajinga kwenye hii dunia, ww utakua makamu mwenyekiti waosijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Kati ya NBC na Yanga, nani anamwitaji zaidi mwenzake? Ukipata jibu hapo utaelewaBenki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa Shilingi za kitanzania Billion mbili na unusu(Tsh.2.5bill)
NBC Bank itadhamini ligi kwa muda wa miaka 3
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
J
Yanga ni nani kwani....hv ikitokea kila team ikitaka twiga awe rangi ya team yake itakuaje,yeye yanga agome kwa ukubwa gani alionao?
Yaah! Hapo umemaliza mkuuKati ya NBC na Yanga, nani anamwitaji zaidi mwenzake? Ukipata jibu hapo utaelewa
Na ndio maana hata wenyewe hawajataka kujisumbua na hilo na wanafahamu uzuri kabisaHivi kwa mfano GSM akakengeuka akasema anataka logo hii kwenye jezi itakuaje ?View attachment 1965166
GSM alilazimika kubadili rangi sababu alidhani club husika ambayo haina mlengo na rangi hiyo.Hivi kwa mfano GSM akakengeuka akasema anataka logo hii kwenye jezi itakuaje ?View attachment 1965166
NBC wanaihitaji zaidi Yanga, hata bila NBC Yanga itasonga mbeleWote wanahitajiana
Mnahangaika bure wao NBC wameshakubali kubadili logo kwenye jezi za yangaNgoja tuone kwani Kabula ya Yanga NBC haikufanya kazi? Na kumbuka si Yanga tu NBC ipo hata bila Yanga sababu kuna simba, Geita, Azam, Mbeya kwanza na timu nyingi.
Kwa vile yupo kibiashara acha afuate ili tu afikie lengo lake la kujitangaza.Ingekuwa zawadi ya mshindi wa kwanza inafika hata kiasi cha kununua mchezaji wa Bilioni 1au 2 hapo ingekuwa timu ndo zinawahitaji hao NBC ila zawadi ya mshindi wa kwanza haifiki hata milioni 300 na hii inatolewaga kama motisha kwa timu kwa ajili ya kumfunga mtani tu
Kwahyo NBC anatumia vilabu vya ligi kuu kujitangaza zaidi na sio kuzinufaisha vilabu.
Hivyo basi hana namna kufuata matakwa ya Dar es Salaam Young Africans
Yaah! That's allKwa vile yupo kibiashara acha afuate ili tu afikie lengo lake la kujitangaza.