NPLBenki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
Wametumia vigezo ganBenki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
Sio swala la ajabu kwa wafwatiliaji wa mpira wa miguu.Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
haiwezekani mkuu voda mbona walisanda au umesahauKumbuka NBC Bank ni mdhamini mkuu hivyo atakuwa mkubwa
sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others BanksKwani NBC hana vigezo?
Vijana wa juzi hawajui kitu ni ushabiki tu, NBC watabadilisha rangi no way outhaiwezekani mkuu voda mbona walisanda au umesahau
Hivyo conflict of interest Bado ipo lakini wataisolve kwa kuamua mojaSio swala la ajabu kwa wafwatiliaji wa mpira wa miguu.
Team viewer wamebadili rangi ya logo Yao kwenye jezi za man u.
Pespi pia wamelazimika kubadili rangi ya logo kutoka blue kwenye udhAmini wa team huko Argentina.
Ni swala ambalo hata FIFA wanaruhusu.