NBC bank rekebisheni tatizo la ATM card please! Or else...

NBC bank rekebisheni tatizo la ATM card please! Or else...

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Kuna tatizo la ATM cards NBC hazisomi kwenye ATM mashine. Ukienda bank ni danadana jaribu baadaye , jaribu kesho, Mara ooh tunarekebisha huku wateja wenu tukiendelea kuingia cost ya 6000 kila ninapofanya transaction ya kudraw hela kupitia dirishani.

Kuna kuna tatizo limeshindika basi punguzeni charge ya kutoa hela kupitia dirishani vinginevyo mnakera bhana.
Ni week sasa kadi hazifanyi kazi
 
NBC wako taaban soon watafutika kwenye ramani, ATM zao nyingi hasa Zanzibar kila ukienda unaambiwa machine haifany kazi yaan usumbufu mtindo mmoja
 
ATM mashine zao wameuza kwa AZANIA company nadhani ndiyo sababu wapo kwenye kubadili mfumo wao
 
Hawana huduma nzuri kuanzia customer care na general service
They don't care whether. wamekuhudumia au la, hongera kwa NMB wanajali na kuhudumia wateja.
Soon nafunga account yangu na Mrs nihamie Crdb,Hadi pale watakapojitambua.
 
Back
Top Bottom