nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Simba na Yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4.
Niko zaidi upande wa Yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati ya Prison na Mbeya city pia ina michezo na Dodoma Jiji pamoja na Singida big stars.
Simba ina point 63 na Yanga point 68.
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa Yanga itakuwa bingwa. Sasa Mbeya City na Prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point iko hapo!
Mbeya City haiwezi kukubali ifungwe na Yanga halafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo Yanga itakutana nazo, kuna uwezekano mkubwa Yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania Yanga ichukue ubingwa ila team yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo Yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba SC.