NBC League Kuu ya Tanzania

NBC League Kuu ya Tanzania

Simba na Yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4.

Niko zaidi upande wa Yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati ya Prison na Mbeya city pia ina michezo na Dodoma Jiji pamoja na Singida big stars.

Simba ina point 63 na Yanga point 68.

Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa Yanga itakuwa bingwa. Sasa Mbeya City na Prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point iko hapo!

Mbeya City haiwezi kukubali ifungwe na Yanga halafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile kwa prisons haiwezi fanya hivyo.

Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo Yanga itakutana nazo, kuna uwezekano mkubwa Yanga ikaukosa ubingwa.

Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania Yanga ichukue ubingwa ila team yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.

Kwa hali ilivyo Yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba SC.
Tuendelee kutupigisha hesabu za vidole
 
Una uhakika wewe kama nani? Wewe ni Mungu? Au ni mchezaji unayecheza uwanjani? Au upo sehemu ya benchi la ufundi? Unasemaje una uhakika wakati mpira uchezi wewe? Yanga kacheza michezo 26 kapoteza game mbili tu je kipi kinachokufanya uwe na uhakika?
sijui kwanini hua mna hangaika nao hawa Mbumbumbu
 
Points nyingi yanga imekusanya kutokana na maamuzi mabaya marefa.

Kifupi mpaka ilipofika imebebwa sana
Ndivo itakavobebwa mbeya na kama unayajua hayo kwanini uanzishe Uzi huu wa kipuuzi wakati unajua yajayo [emoji28]
 
Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza


mkuu unaongea ukiwa wapi.
 
Kwamba Simba atashinda mechi zote sio? Haya tufanye Simba itashinda mechi zake zote, ila tambua kuwa Yanga mpaka anaenda Mbeya atakuwa tayari ana point 6 atakazopata dhidi ya Singida na Dodoma. Hivyo kule mbeya atakuwa anahitaji alama mbili tu kutangaza ubingwa.
Mleta uzi niakukumbusha nilichokwambia
 
Back
Top Bottom