NBC League Kuu ya Tanzania

NBC League Kuu ya Tanzania

Wachambuz wamekuwa maandaz sanaa....Yan Luambano namskia hapa anasema anajua lazima yanga ashinde mech zake zote....
 
Hata mie nimemsikia anabishana bila hata concepts. Yaani hata Jana kwenye betting yanga ilikuwa na odds kubwa kuliko Simba wakimaanisha Simba inapossibility kubwa ya kushinda Luambano akawa anakataa.

Ushabiki umemjaa na sasa haamini kama yanga inaweza tema ubingwa.

Naamini michezo itakayochezwa sokoine itakuwa migumu kwa yanga
 
Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza
 
Ndo mchambuz nliemwamini kwamba Hana mahaba na timu yyte ila Leo amedhiirisha unazi wake kwa Yanga...Kila wenzake wakimpa fact anabisha tu bila sababu za msingi
 
Kila mtu ashinde zake
Nb kwa hali ya ligi ya tanzania ilivyo timu iliyo mkiani ni dhaifu total kwahyo usiwe na great expectations Mana hao uwatarajiao pengine ndio watanyukwa tano tano autokaa uamini macho yako
 
Simba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4

Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati

1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.

Simba Ina point 63 na yanga point 68

Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.

Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!

Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.

Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.

Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.

Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
Hahahah Toto Africa wapuuzi sana
 
Mpira haupo hivyo kikamia mechi akukufanyi usifungwe
 
Hata mie nimemsikia anabishana bila hata concepts. Yaani hata Jana kwenye betting yanga ilikuwa na odds kubwa kuliko Simba wakimaanisha Simba inapossibility kubwa ya kushinda Luambano akawa anakataa.

Ushabiki umemjaa na sasa haamini kama yanga inaweza tema ubingwa.

Naamini michezo itakayochezwa sokoine itakuwa migumu kwa yanga
Lwambino ndio nani huyo??ni mchambuzi au mchakuku
 
Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza
Vyura mmeanza kelele tena???ngoja kibu awasikie!!
 
Mtu ana matamanio yake (wishful thinking) na ndio hayo anafikiri anayatabiria kuwa yatatokea.
 
Kuna timu huwa inakubali kufungwa ?
Acha ufala hao mbeya watake watafungwa wasitake watafungwa
 
mbeya city haiwezi kubali ifungwe ishuke daraja

kwamba yanga ndo itakubali ifungwe ikose ubingwa

suala la kufungwa sio la makubaliano kwamba utakubali ama utakataa unalazimishwa

mbeya city akubali akatae atachapika tu
Alivyosema unaweza dhan huwa timu znakaa mezani kubargain
 
Suala na kufungwa au kutokufungwa sio timu inajipangia bali ni uwezo, kama uwezo wako ni mdogo dhidi ya mipnzani wako basi utafungwa tu hata uloge vipi,
 
Simba na Yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4.

Niko zaidi upande wa Yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati ya Prison na Mbeya city pia ina michezo na Dodoma Jiji pamoja na Singida big stars.

Simba ina point 63 na Yanga point 68.

Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa Yanga itakuwa bingwa. Sasa Mbeya City na Prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point iko hapo!

Mbeya City haiwezi kukubali ifungwe na Yanga halafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile kwa prisons haiwezi fanya hivyo.

Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo Yanga itakutana nazo, kuna uwezekano mkubwa Yanga ikaukosa ubingwa.

Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania Yanga ichukue ubingwa ila team yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.

Kwa hali ilivyo Yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba SC.
Kwa hali ilivyo Yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba SC.[emoji817][emoji818]
 
Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza
Maneno kibao.....
Yanga team hamna pale.....
 
Back
Top Bottom