Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie nimemsikia anabishana bila hata concepts. Yaani hata Jana kwenye betting yanga ilikuwa na odds kubwa kuliko Simba wakimaanisha Simba inapossibility kubwa ya kushinda Luambano akawa anakataa.Wachambuz wamekuwa maandaz sanaa....Yan Luambano namskia hapa anasema anajua lazima yanga ashinde mech zake zote....
Ndo mchambuz nliemwamini kwamba Hana mahaba na timu yyte ila Leo amedhiirisha unazi wake kwa Yanga...Kila wenzake wakimpa fact anabisha tu bila sababu za msingiHata mie nimemsikia anabishana bila hata concepts. Yaani hata Jana kwenye betting yanga ilikuwa na odds kubwa kuliko Simba wakimaanisha Simba inapossibility kubwa ya kushinda Luambano akawa anakataa.
Ushabiki umemjaa na sasa haamini kama yanga inaweza tema ubingwa.
Naamini michezo itakayochezwa sokoine itakuwa migumu kwa yanga
Hahahah Toto Africa wapuuzi sanaSimba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4
Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati
1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.
Simba Ina point 63 na yanga point 68
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.
Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!
Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
kwahili yanga ubingwa umekoma kwaoSimba michezo yake yote imekaa vizuri
1. Away ni Namungo tu
Lakini
2. Police
3. Ruvu
4. Coast
Zote ni DSM
Angalia hapo
Mpira haupo hivyo kikamia mechi akukufanyi usifungweSimba na yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4
Niko zaidi upande wa yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati
1. Prison
2. Mbeya city
Pia Ina michezo
3. Dodoma Jiji
4. Singida big stars.
Simba Ina point 63 na yanga point 68
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa yanga itakuwa bingwa.
Sasa Mbeya City na prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point Iko hapo!
Mbeya city haiwezi kukubali ifungwe na yanga alafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile Kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo yanga itakutana nazo Kuna uwezekano mkubwa yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania yanga ichukue ubingwa ila team Yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba sc
Na sugu ni mnyama lia lia,patamu hapoooona huko mbeya sugu yupo ktk harakati zake katoa ahadi kila goli ni 1m dah ndo uyam wa ligi
Lwambino ndio nani huyo??ni mchambuzi au mchakukuHata mie nimemsikia anabishana bila hata concepts. Yaani hata Jana kwenye betting yanga ilikuwa na odds kubwa kuliko Simba wakimaanisha Simba inapossibility kubwa ya kushinda Luambano akawa anakataa.
Ushabiki umemjaa na sasa haamini kama yanga inaweza tema ubingwa.
Naamini michezo itakayochezwa sokoine itakuwa migumu kwa yanga
Vyura mmeanza kelele tena???ngoja kibu awasikie!!Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza
Alivyosema unaweza dhan huwa timu znakaa mezani kubargainmbeya city haiwezi kubali ifungwe ishuke daraja
kwamba yanga ndo itakubali ifungwe ikose ubingwa
suala la kufungwa sio la makubaliano kwamba utakubali ama utakataa unalazimishwa
mbeya city akubali akatae atachapika tu
Alifungwa lipuli akashuka darajaTunazungumzia mshikamano wa Nyanda za juu kusini pia na msimamo wa team zenyewe
Kwa hali ilivyo Yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba SC.[emoji817][emoji818]Simba na Yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4.
Niko zaidi upande wa Yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati ya Prison na Mbeya city pia ina michezo na Dodoma Jiji pamoja na Singida big stars.
Simba ina point 63 na Yanga point 68.
Kwa mujibu wa Alex Lwambano anaihakikishia kuwa Yanga itakuwa bingwa. Sasa Mbeya City na Prison ziko chini zinapigania kutoshuka daraja. Point iko hapo!
Mbeya City haiwezi kukubali ifungwe na Yanga halafu yenyewe ishuke daraja. Vile vile kwa prisons haiwezi fanya hivyo.
Kutokana na hali hiyo na msimamo na aina ya team ambazo Yanga itakutana nazo, kuna uwezekano mkubwa Yanga ikaukosa ubingwa.
Wakazi wa mkoa wa Mbeya ni tofauti na wale wa Mwanza. Mwanza wanauwezo wa kuipigania Yanga ichukue ubingwa ila team yao ya toto au pamba ishuke daraja lakini sio kwa Mbeya.
Kwa hali ilivyo Yanga ina mazingira magumu ya ubingwa kuliko Simba SC.
Maneno kibao.....Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...