NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
...[emoji3538] π™ˆπ™€π˜Ύπ™ƒπ™„ π™”π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό
LIVE UPDATES:...................
MATCH DAY [emoji759]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
YANGA [emoji617]vs AZAM [emoji843][emoji836]️
BENJAMIN MKAPA[emoji909]
SAA 2:30 USIKU

Azam FC dhidi ya Yanga leo ni Mchezo wa Kibingwa, katika misimu (3) mfululizo Azam na Yanga hutupa mechi bora ya msimu.

Japo rekodi zinaonesha katika mechi (10) za mwisho overall Yanga kashinda (8) sare (1) na Azam akishida (1) lakini radha ya mechi hii haijaondoka kwa wapenzi wa soka.

... Ni mechi ambayo inabeba image ya ligi kuu kwa kuipa hadhi Africa kutokana na ubora wa kiuchezaji wa timu zote mbili na kimbinu.

Wachezaji waliocheza mechi iliyopita watakaoikosa mechi ni pamoja na ;

β—‰ Prince Dube β€” Alifunga goli [emoji460]
β—‰ Khalid Aucho
β—‰ Sospeter Bajana
β—‰ Alasane Diao
β—‰ Idrissu

Wachezaji walioongezeka kwenye dirisha dogo ambao possibly wana au Wangeweza kucheza ni ;

β—‰ Augustine Okrah
β—‰ Joseph Guede
β—Ž Pablo β€” Injury
β—‰ Mustapha (Golie)
β—‰ Fuenttes

[emoji419] Mechi hii iko tricky kwa timu zote.

Azam anataka ashinde ili ampite Simba akiamini anaweza kumfunga Simba ili akae juu yake na kupigania kumaliza nafasi ya pili ambayo itamuhakikishia kucheza ligi ya mabingwa Africa msimu ujao.

Yanga yeye anataka kushinda ili kutengeneza Morali Kuelekea mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns [emoji1221] na ku-cement nafasi yake ya kuwania Ubingwa kwani akishinda atamzidi Azam points 11 (Huku akiwa na kiporo) na atamzidi Simbal points (10) wakati ambao ligi itasimama na ikirejea atakutana na Simba ambapo akishinda au sare atakuwa na 75% ya kutwaa Ubingwa mapema.
Vipi utabiri wako mechi ya leo,nani ataibuka na ushindi?..Tutawaletea live updates hapa usikae mbali kufuatilia mtanange huu.
 
Uzi mzuri sana
Analysis nzuri.

Changamoto naiona kwa Wachangia Mada!!!!!

Anyway nadhani utakuwa Mchezo Mzuri sana.

Kukosekana kwa Khalid Aucho kutakuwa ni pengo kubwa sana kwa Yanga.

Feisal atakosa mtu madhubuti mwenye uwezo wa kumzuia.

Battle la Aucho Fei huwa linakuwa zuri sana, pamoja na kwamba Nguvu kubwa huwa inatumika.

KILA LAKHERI JAMII FORUM JAPO INAZIDI KUDONDOSHA ALAMA.
 
Rudi tuu kushabikia timu iliyopo damuni maana kila siku ooho nawaonea huruma sasa mbona kila uzi upo unachangia?
 
Jamii forum ina wacheza singeli siku hizi.
 
Na leo naomba watu wakatoe mashuka golini ili ligi yetu tuibatize jina la MAJINI PREMIUM
 
Mie nipo sawa sihitaji kupimwa, wanaohitaji kupimwa ni wale [emoji196][emoji196]wanaoamini kuwa kila mechi watavuna alama 3.

Nasisitiza wakapimwe akili
Ulitaka tuamini tunafungwa!! Hii ni yanga afrika sio dunduka fc tunajiamini na kikosi chetu Leo chache 5 kma nilivyokupiga wewe kolo[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…