Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kapimwe akili we 🐸Ulitaka tuamini tunafungwa!! Hii ni yanga afrika sio dunduka fc tunajiamini na kikosi chetu Leo chache 5 kma nilivyokupiga wewe kolo[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapimwe akili we 🐸Ulitaka tuamini tunafungwa!! Hii ni yanga afrika sio dunduka fc tunajiamini na kikosi chetu Leo chache 5 kma nilivyokupiga wewe kolo[emoji1787][emoji1787]
Tutavuna alama 3 gem zote zilizosalia kabla ya kuitwa mabingwa wa ligi kuu.Mie nipo sawa sihitaji kupimwa, wanaohitaji kupimwa ni wale 🐸🐸wanaoamini kuwa kila mechi watavuna alama 3.
Nasisitiza wakapimwe akili
atamzidi Simbal points (10) wakati ambao ligi itasimama na ikirejea atakutana na Simba ambapo akishinda au sare atakuwa na 75% ya kutwaa Ubingwa mapema.