NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

Weka nyumbaaa[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Tutamsugua Azam kama tulivyomsugua 5 kaka yake...
 
Nasikia Kick Off ni Saa 2 na dakika 30 na siyo Saa 2 na dakika 15. Je, hili lina usahihi wowote Wadau?
 
Nasikia Kick Off ni Saa 2 na dakika 30 na siyo Saa 2 na dakika 15. Je, hili lina usahihi wowote Wadau?

Yes ni kweli saa mbili na usu usiku
IMG_8215.png
 
IMG_8216.png

Top scorers NpL..MASTER KI anabeba kiatu mchana kweupe na leo anaongeza goli mbili
 
IMG_8217.png

Top assistants NpL..Yao Kouassi Attohoula anabeba mchana kweupee na leo anaongeza moja.
 
IMG_8218.png

Clean sheet Djigui Diarra anabeba mchana kweupee.
 
IMG_8219.png

Goals 48 Yanga na leo tunaongeza matatu jumla hamsini na moya[emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom