NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

Huyo jamaa yako hata mimi huwa namuona kama kapagawa!!
Mara kaacha kushabikia Simba na Yanga, mara JF imeshuka hadhi, kiufupi jamaa hawezi kusimamia anacho kiamini.

Ningemuelewa kama angeacha kuchangia jukwaa la michezo, majukwaa mbona yapo mengi humu!!..
Kabisa kitu kama hukitaki unaacha kabisa kuwepo huku..mbon wengi tuu wanaacha na huwaaoni tena ila yy kutwaa yupo lakini anatushangaa..na sisi tunamshangaa
 
Azam wangese sana wanatuumizia wachezaji
 
Azam wangese sana wanatuumizia wachezaji
Afrika ni Afrika tu. Kwa waliostaarabika mchezaji akiumia mashabiki wote wanainuka kumtakia heri, huku naona mashabiki wa Azam wanashangilia VUNJAAAA!
 
Back
Top Bottom