NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Ila yanga wenzetu wanawezaje kufunga magoli yote yale huku wakiwa na penalty mbili tu..

Wallah yanga kiboko[emoji16]
 
mmmh, huu ushabiki umepitiliza, utapata magonjwa yasiyoambukizwa. Yaani unahuzunika kabisa utadhani ni shabiki wa Dodoma FC? 😂😂😂
Mi mgogo lazima niisapoti timu ya homu mkuu🤣🤣
 
Hadi Sasa Simba SC Amepata Penalty Ngapi Aliweza Ku-score & Alizo-fail?
 
Hawa Dodoma huko vyumbani mmewaahidi nn?.....saizi hawasomeki kabisa
 
Back
Top Bottom