NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Simba ikifanya makuzi dodoma jiji wanarudisha
 
Timu Bila Mipira Iliyokufa Haipati Matokeo Jitafakari Mapema Aisee.
Sijui kwa nini FIFA waliamua kuwepo mipira ya kufa. Ilitakiwa kusiwepo free kick, direct kick, kona na penati. Ilitakiwa mchezo uwe unaendelea tu usisimame
 
Nyoni kapigwa yellow na dodoma wanapata freekick eneo karibu na penati box
 
Defense ya simba bado sio ya kuaminika, hususani asipokuwepo enonga
 
Na vhama katoka kaingia jimmyson
 
Ngoja tuwaletee Ambundo Kwa mkopo,huyu Mnyasaland Bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…