Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
na hii nayo tuiorodheshe katika malalamiko ya kumpelekea mamaYaani makolo wamenunua hii mechi live kabisa, ebu ona dodoma mji wanavyo cheza utadhani wananafunzi wa darassa la sita c????! Sijui takukuru wako wapiii??