Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nashangaa wakati onyango na Wenzie walitakiwa kuchunga ng'ombe wa mayele au kocha hajapigiwa simu?Kocha naye anazingua,mechi ngumu kama hii kwa nini anawaweka benchi Mwamnyeto na Bangala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa wakati onyango na Wenzie walitakiwa kuchunga ng'ombe wa mayele au kocha hajapigiwa simu?Kocha naye anazingua,mechi ngumu kama hii kwa nini anawaweka benchi Mwamnyeto na Bangala?
hahahaaahaa tulia tutafunga kwenye hizi za nyongezaMi inakula kwangu, maana niliweka mzigo jumla ya magoli matatu bila kujali yanatoka wapi. Hapa naombea Dodoma wapate moja au Simba waongeze la tatu
alisikika uto mmoja aliebanwa na kimbaUkweli usemwe, hii mechi tumenunua hakuna haja ya kushangilia ushindi wa ajabu ajabu
Hii sio kama ile mechi ya jana ambayo kuna timu ilifunga bao kama la nguruwe.Ukweli usemwe, hii mechi tumenunua hakuna haja ya kushangilia ushindi wa ajabu ajabu
Ukengeukaji umekuzidia, bora dogo apite na hicho kisimuGoooooal
Dodoma wanapata goli la tatu hapa kutoka kwa Emmanuel Martin.
3-2.
Kitambi cha Lwanga kwa djuma ni sixpacksTadeo Lwanga ana kitambi
Goooooal
Dodoma wanapata goli la tatu hapa kutoka kwa Emmanuel Martin.
3-2.
correct score ✔️Ft: SIMBA 2-0 DODOMA
Yeah lile lile team fulani ya mudi ilipachikwa kwenye ngao ya hisani..Hii sio kama ile mechi ya jana ambayo kuna timu ilifunga bao kama la nguruwe.