NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Ulikuwa uzembe wa mabeki wa dodoma mpaka kipa akatoka kumfuata yule mfungaji butu.

Pale angekuwepo mwamnyeto au bangala unadhani wangeachia kizembe vile
Huku Bwalya alikopita ndiyo kumenishtua
 
Waache wapoteze muda wanafikiri saizi nani wanaye mkomoa wakati tuko mbele kwa goli 2
 
Wawa sio beki wa kumuweka kwenye mechi muhimu
 
Ukweli usemwe, hii mechi tumenunua hakuna haja ya kushangilia ushindi wa ajabu ajabu
 
Waache wapoteze muda wanafikiri saizi nani wanaye mkomoa wakati tuko mbele kwa goli 2
Mi inakula kwangu, maana niliweka mzigo jumla ya magoli matatu bila kujali yanatoka wapi. Hapa naombea Dodoma wapate moja au Simba waongeze la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…