NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Kocha naye anazingua,mechi ngumu kama hii kwa nini anawaweka benchi Mwamnyeto na Bangala?
Nashangaa wakati onyango na Wenzie walitakiwa kuchunga ng'ombe wa mayele au kocha hajapigiwa simu?
 
Mi inakula kwangu, maana niliweka mzigo jumla ya magoli matatu bila kujali yanatoka wapi. Hapa naombea Dodoma wapate moja au Simba waongeze la tatu
hahahaaahaa tulia tutafunga kwenye hizi za nyongeza
 
Goooooal
Dodoma wanapata goli la tatu hapa kutoka kwa Emmanuel Martin.
3-2.
 
Kona ya mwisho kuelekea kumalizika kwa game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…