Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sijawahi kutazama TBC kwa kipindi kirefu mnoFuatilia ARIDHIO
Hoja yako ni dhaifu sana !Ishu ya Marketing.
Lazima ufahamu kuwa Simba na Yanga ndiyo wanaofayiliwa zaidi katika michezo yao.
Kuwachezesha saa 8 ni kuwanyima walaji nafasi ya kushuhudia michezo yao wanayoipenda.
Inayopanga ratiba ni Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Azam TV yenye haki za Urushaji wa matangazo mubashara.
Michezo yote kuchezwa saa 10 inawezekana, lakini Azam hatokuwa na uwezo wa kuonyesha michezo yote 8 kwa wakati mmoja.
Hivyo, lazima aangalie Simba na Yanga wacheze muda ambao watu wengi watakuwa free kufatilia. Saa 10 na kuendelea.
Huu ni ujuaji wa hali ya juu. Majibu aliyokupa ni ya kitaalam kabisa katika mambo ya biashara. Ungekuwa wewe ndo una haki ya kuonyesha ligi kuu mechi ya Simba au Yanga ungetamani ichezwe saa 7 mchana siku za kazi? Consumer hapa unategemea awe nani kamanda?hoja yako ni dhaifu sana !
Unaleta harakati za kisiasa kwenye soka. Hii ni biasharaNi swali tu ndugu zangu, mwenye majibu naomba anieleweshe, au kama ziliwahi kucheza mchana wa jua kali la saa 8 basi nikumbushwe, ilikuwa lini na wapi.
Hatuwezi kuwa na ligi moja ya soka yenye upendeleo wa kijinga kabisa kama huu halafu tukatarajia maendeleo
Sema una ka ubishi ka asili. Hoja aliyotoa ni moja ya hoja zenye nguvu zaidi.Hoja yako ni dhaifu sana !
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wewe pamoja na wadau wengine wachache, ndiyo mnaoshangazwa na hiyo hali? Badala ya vilabu husika?Ni swali tu ndugu zangu, mwenye majibu naomba anieleweshe, au kama ziliwahi kucheza mchana wa jua kali la saa 8 basi nikumbushwe, ilikuwa lini na wapi.
Hatuwezi kuwa na ligi moja ya soka yenye upendeleo wa kijinga kabisa kama huu halafu tukatarajia maendeleo
Ligi ya haki haiwezi kuendeshwa kwa upendeleo kirahisi hivyo kama mnavyotaka iwe , angalieni ligi ya Uingereza inavyoendeshwa , kwani wale hawajui hayo ya biashara mnayoyasema nyie .Sema una ka ubishi ka asili. Hoja aliyotoa ni moja ya hoja zenye nguvu zaidi.
Au tukuulize labda, ule mzigo wa udhamini ambao Azam wanautoa, unafikiri wanapataje mapato?
Kabisa yaani ! ina maana haya mavilabu mengine yamekubaliana kuburuzwa mchana wa jua kali kwa manufaa ya Yanga , Simba na Azam ?Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wewe pamoja na wadau wengine wachache, ndiyo mnaoshangazwa na hiyo hali? Badala ya vilabu husika?
Na mwisho wa siku utatakiwa sasa kufuata ule msemo usemao "mambo ya Ngoswe......."!!
Money talk!!Kabisa yaani ! ina maana haya mavilabu mengine yamekubaliana kuburuzwa mchana wa jua kali kwa manufaa ya Yanga , Simba na Azam ?
Hivi hii ligi ni ya nani hasa , TFF au Azam ?
Kwani nchi zingine hakuna wadhamini , mbona ligi zinachezwa kwa usawa ?Money talk!!
Hakuna kitu kisichotegemea kingine; nyie wenyewe mikutano yenu ya siasa mnafanya mda ambao watu wengi wamemaliza kazi, yaani jioni.Yaani Ligi ya soka isubiri shughuli zingine ? mliona wapi huo ujinga ?
Hizo kanuni mnaokota wapi ?Hakuna kitu kisichotegemea kingine; nyie wenyewe mikutano yenu ya siasa mnafanya mda ambao watu wengi wamemaliza kazi, yaani jioni.
Sasa huko uingereza unakosema ushajiuliza kwa nini hawachezi asubuhi? Unadhani wanakuwa wamechoka? Au kwa nini FIFA haikupanga michezo hii ifanyike asubuhi?
Jibu utakalopata litaendana na sababu za kibiashara.
Na nikwambie upendeleo upo tu kila sehemu. Ingekuwa haupo, basi kwenye kupanga makundi ya mpira timu kubwa zingekuwa zinakutana tangu hatua ya awali ya makundi au kuwekwa kundi moja, lakini wataziweka makundi tofauti tofauti. Unadhani kwa nini? Kwa sababu hizi timu kubwa ambazo ndizo zenye mashabiki zikipangwa pamoja zikatoka mapema wenye TV rights za kurusha matangazo watapata hasara na vilabu hali kadhalika vitakosa baadhi ya mapato.
Likewise hapa kwetu, vibanda umiza huwa vinajaa watu pale simba au yanga zinapocheza. Sasa kwa nini mechi hizo zipangwe mda wa kazi? Nani anataka hasara?
Hapa suala sio haki tu, suala ni faida kwa vilabu na wadau wengine.
.Hoja yako ni dhaifu sana !
Hoja ya kimasikini kifikra hii.Ishu ya Marketing.
Lazima ufahamu kuwa Simba na Yanga ndiyo wanaofayiliwa zaidi katika michezo yao.
Kuwachezesha saa 8 ni kuwanyima walaji nafasi ya kushuhudia michezo yao wanayoipenda.
Inayopanga ratiba ni Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Azam TV yenye haki za Urushaji wa matangazo mubashara.
Michezo yote kuchezwa saa 10 inawezekana, lakini Azam hatokuwa na uwezo wa kuonyesha michezo yote 8 kwa wakati mmoja.
Hivyo, lazima aangalie Simba na Yanga wacheze muda ambao watu wengi watakuwa free kufatilia. Saa 10 na kuendelea.
Hii ni kashfa kwenye soka na ukandamizaji mkubwa sana ndio utegemee ubingwa wa africa ?Ishu ya Marketing.