Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Hawaelewi hatari ya haya wanayoyaandikaHii ni kashfa kwenye soka na ukandamizaji mkubwa sana ndio utegemee ubingwa wa africa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaelewi hatari ya haya wanayoyaandikaHii ni kashfa kwenye soka na ukandamizaji mkubwa sana ndio utegemee ubingwa wa africa ?
Si rahisi kiivyo.Kwa nini Samia amekimbia kuongea na diaspora huko marekani!!!!🏃🏃🏃🏃
Hilo ndo jibu sahihi. Kama kweli uliuliza ili upate majibu basi ndo hayo hapo. Nakushauri uendelee tu kuipambania CDM maana huko kila kitu kulalamika. Sometimes unahitaji common sense tu.Hoja yako ni dhaifu sana !
Unataka niamini kwamba TFF inazihujumu timu zingine na kubeba Simba na Yanga ili Azam ifanye biashara ?Hilo ndo jibu sahihi. Kama kweli uliuliza ili upate majibu basi ndo hayo hapo. Nakushauri uendelee tu kuipambania CDM maana huko kila kitu kulalamika. Sometimes unahitaji common sense tu.
Shida siyo kucheza saa 7 mchana , kwanini Simba na Yanga hawapangiwi game muda huo kama timu zingine ?Hili jambo nimetoka kujiuliza majuzi tu,nashangaa kuona team inacheza saa saba mchana
Swali zuri,mfano mzuri,ila ambacho hujui EPL kila timu INA mashabiki ambao wapi tayari Ku subscribe kuangalia timu zao,tofauti na Tanzania watu wanalipia kuangalia Simba na Yangu tu...azam hata asipoonesha mechi nyingine zote,hatopata hasara,awe anaonesha simba na yangu tu...kaangalie vibanda umiza mechi ya coastal na ihefu inatazamwa na watu wangapi??Ligi ya haki haiwezi kuendeshwa kwa upendeleo kirahisi hivyo kama mnavyotaka iwe , angalieni ligi ya Uingereza inavyoendeshwa , kwani wale hawajui hayo ya biashara mnayoyasema nyie .
Yaani Ligi ya soka isubiri shughuli zingine ? mliona wapi huo ujinga ?
Sio kuhujumu. Bila Simba na Yanga hakuna ligi. Sasa uweke mechi ya Simba au Yanga saa 8 nani aangalie?Unataka niamini kwamba TFF inazihujumu timu zingine na kubeba Simba na Yanga ili Azam ifanye biashara ?
Unabebaje timu ambazo hata zikifuzu kucheza michuano ya CAF hazina nauli?, ukweli mchungu, ligi ya bongo ni mali ya Simba na Yanga pekee. Upende usipende ila ukweli ndo huo.Unataka niamini kwamba TFF inazihujumu timu zingine na kubeba Simba na Yanga ili Azam ifanye biashara ?
KWANI ULIULIZA SWALI ILI UFAHAMU AU ULIULIZA ILI UBISHANE?Ligi ya haki haiwezi kuendeshwa kwa upendeleo kirahisi hivyo kama mnavyotaka iwe , angalieni ligi ya Uingereza inavyoendeshwa , kwani wale hawajui hayo ya biashara mnayoyasema nyie .
Yaani Ligi ya soka isubiri shughuli zingine ? mliona wapi huo ujinga ?
Watanzania hawa hawa ambao Manji alipotangaza kiingilio ni bure kwenye game moja ya kimataifa ya yanga , uwanja ukajaa saa 2 unusu asubuhi , ndio washindwe kuangalia timu zao saa 8 mchana ? Tafuteni kisingizio kingineSio kuhujumu. Bila Simba na Yanga hakuna ligi. Sasa uweke mechi ya Simba au Yanga saa 8 nani aangalie?
Ni kweli niliuliza ili nieleweshwe , lakini nimeongeza maswali madogo ya nyongezaKWANI ULIULIZA SWALI ILI UFAHAMU AU ULIULIZA ILI UBISHANE?
Kama una akili,utajua mpira ni biashara na si siasa.Ni swali tu ndugu zangu, mwenye majibu naomba anieleweshe, au kama ziliwahi kucheza mchana wa jua kali la saa 8 basi nikumbushwe, ilikuwa lini na wapi?
Hatuwezi kuwa na ligi moja ya soka yenye upendeleo wa kijinga kabisa kama huu halafu tukatarajia maendeleo.
nakataa kabisaIshu ya Marketing.
Lazima ufahamu kuwa Simba na Yanga ndiyo wanaofayiliwa zaidi katika michezo yao.
Kuwachezesha saa 8 ni kuwanyima walaji nafasi ya kushuhudia michezo yao wanayoipenda.
Inayopanga ratiba ni Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Azam TV yenye haki za Urushaji wa matangazo mubashara.
Michezo yote kuchezwa saa 10 inawezekana, lakini Azam hatokuwa na uwezo wa kuonyesha michezo yote 8 kwa wakati mmoja.
Hivyo, lazima aangalie Simba na Yanga wacheze muda ambao watu wengi watakuwa free kufatilia. Saa 10 na kuendelea.
Yaani hapo ndio umeandika kweli kweli [emoji38][emoji38][emoji38]Kama una akili,utajua mpira ni biashara na si siasa.
Huo muda ni mashabiki wangapi wataangalia mechi?
Kama una akili utajua kuna matangazo inabidi yawafikie watu.
Kama akili zipo hata za kubadili nguo za ndani tu,utajua kuwa hata mvuto wa ligi umeletwa na hizi timu kubwa.
Kama akili bado zipo kidogo utafuta huu uzi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
england team zinazofuatiwa zaidi zinajulikana lakini wanacheza saa sita mchana , ni ujinga tu kuchezesha huyu saa nane huyu saa moja uckIshu ya Marketing.
Lazima ufahamu kuwa Simba na Yanga ndiyo wanaofayiliwa zaidi katika michezo yao.
Kuwachezesha saa 8 ni kuwanyima walaji nafasi ya kushuhudia michezo yao wanayoipenda.
Inayopanga ratiba ni Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Azam TV yenye haki za Urushaji wa matangazo mubashara.
Michezo yote kuchezwa saa 10 inawezekana, lakini Azam hatokuwa na uwezo wa kuonyesha michezo yote 8 kwa wakati mmoja.
Hivyo, lazima aangalie Simba na Yanga wacheze muda ambao watu wengi watakuwa free kufatilia. Saa 10 na kuendelea.
Hakikaengland team zinazofuatiwa zaidi zinajulikana lakini wanacheza saa sita mchana , ni ujinga tu kuchezesha huyu saa nane huyu saa moja uck