NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

Huyu Bwalya anavyozidi Kujiongeza Kiwango...Naona kbs Anaenda Kutusahaulisha Chama.
 
Hakuna tena magoli ya offside msimu huu! Waamuzi wameamua kusimama kwenye haki.

Pambaneni mpate ushindi wa haki. Kinyume na hapo, matavuna mtakacho panda.
Vipi goli la Yanga vs Kagera Sugar alilofunga Fei Toto? Au ndio vile Nyani haoni kundule
 
Weka video yake hapa lijadiliwe Kama lina shida yoyote
Kiongozi lile Goli lilikuwa clear offside. Jamaa wa Kagera Sugar alivyotaka kumlamba chenga Yacouba kama sikosei aliucheza na ukaenda kwa Mayele ambaye alikuwa offside alivyopiga shuti keeper akatema ndio ukakutana na Fei Toto. Sema ile watu wengi hawakuiona
 
Weka video yake hapa lijadiliwe Kama lina shida yoyote
Angalia vizuri hapo. Mayele alikuwa offside wakati pasi ikipigwa na Yacoba. Baada ya Mayele kupiga keeper akatema ndio ikakutana na Fei Toto kama rebound.

Halafu mtu anakwambia mwaka huu hakuna magoli ya offside.
Screenshot_20211027-225556_Gallery.jpg
 
timu ni mbovu ,sema unaweza kushangaa kimataifa ikafika mbali hivi na kwenye ligi ,heri hata hivi wajione ni wabovu kuliko kuleta ule ufaza wa kijinga ,leo nimefurahi Wawa kutokwepo kwenye kikosi
Wawa kiazi tu
 
Back
Top Bottom