NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

penalty ya halali lakini, au we kwa upande wako unaonaje?
Mi nimeona mchezaji wa polisi kaanza kupeleka mguu kuucheza mpira... Kisha Morison akapeleka kichwa kwenye mguu wa mtu... Refa akapuliza kipenga na kuamuru iwe penati
 
Sawa,lakini leo timu imepambana sana,inabidi wachezaji wapambane hivi kila siku.
timu ni mbovu ,sema unaweza kushangaa kimataifa ikafika mbali hivi na kwenye ligi ,heri hata hivi wajione ni wabovu kuliko kuleta ule ufaza wa kijinga ,leo nimefurahi Wawa kutokwepo kwenye kikosi
 
Onyango naona bye bye Sasa umri ushakataa mwili wote mzito.Erasto nae mwili unaanza kukataa Hana pace ya kukimbizana na vijana ni muda sasa wakutafuta mibadala ya kudumu kwa hawa watu.

January inabidi tuingie sokoni au tumrudishe Ame .lazima tupate beki wa kati mwenye pace kama huyu Inonga
 
Simba imekuwa timu ya kucheza kwenye media zaidi kuliko uwanjani.
 
Onyango naona bye bye Sasa umri ushakataa mwili wote mzito.Erasto nae mwili unaanza kukataa Hana pace ya kukimbizana na vijana ni muda sasa wakutafuta mibadala ya kudumu kwa hawa watu.

January inabidi tuingie sokoni au tumrudishe Ame .lazima tupate beki wa kati mwenye pace kama huyu Inonga
Kennedy apewe nafasi tu asimame na inonga ila Wawa tumpe mkono wa kwaheri
 
Kennedy apewe nafasi tu asimame na inonga ila Wawa tumpe mkono wa kwaheri
Kennedy ni Sweeper mzuri na juu anakwenda na ni good passer yeye shida yake ni mbio hana kasi.ila inabidi msimu huu apate mechi nyingi nyingi
 
Back
Top Bottom