Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema ka vile Vyura FC hawapatagi penati, looo!Refa ndo kaokoa jahazi
subs ndo zimeleta ahueniTuacheni lawama leo angalau timu imecheza vizuri
Sawa,lakini leo timu imepambana sana,inabidi wachezaji wapambane hivi kila siku.subs ndo zimeleta ahueni
Mi nimeona mchezaji wa polisi kaanza kupeleka mguu kuucheza mpira... Kisha Morison akapeleka kichwa kwenye mguu wa mtu... Refa akapuliza kipenga na kuamuru iwe penatipenalty ya halali lakini, au we kwa upande wako unaonaje?
timu ni mbovu ,sema unaweza kushangaa kimataifa ikafika mbali hivi na kwenye ligi ,heri hata hivi wajione ni wabovu kuliko kuleta ule ufaza wa kijinga ,leo nimefurahi Wawa kutokwepo kwenye kikosiSawa,lakini leo timu imepambana sana,inabidi wachezaji wapambane hivi kila siku.
Wameanza Kuhonja Raha Goli Moko Kila Mechi [emoji2][emoji2][emoji2]Makolo kwa sasa ndio wataanza kuelewa raha ya goli 1.
Tusisahau musimu uliyopita Polisi waliifunga Simba ya Chama & Konde boySimba yangu bado saana.
Nawe utapewaNyau FC wamepewa goli
Kennedy apewe nafasi tu asimame na inonga ila Wawa tumpe mkono wa kwaheriOnyango naona bye bye Sasa umri ushakataa mwili wote mzito.Erasto nae mwili unaanza kukataa Hana pace ya kukimbizana na vijana ni muda sasa wakutafuta mibadala ya kudumu kwa hawa watu.
January inabidi tuingie sokoni au tumrudishe Ame .lazima tupate beki wa kati mwenye pace kama huyu Inonga
Kennedy ni Sweeper mzuri na juu anakwenda na ni good passer yeye shida yake ni mbio hana kasi.ila inabidi msimu huu apate mechi nyingi nyingiKennedy apewe nafasi tu asimame na inonga ila Wawa tumpe mkono wa kwaheri
Uko Wima Mkuu, ni hakuna Kulala....Ukizubaa tu Umepitwa.Sasa hivi msimamo wa ligi upoje ?