NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

Yanga tupo katika mchakato wa kumnunua Tata Nyane mzee wa Jwanneng Galaxy......
 
Huyu Bwalya pamoja na uzoefu alokuwa nao ligi ya bongo Ila bado tu dah,akipiga anapaisha
 
Yaani Kagere ni mzuri tu akiangalia goli mbali ya hapo hata kupiga pasi kwake ni mtihani
 
Nawaona wazee wa pira makande pira pilipili kichaa. Mmekimbia mnasubiri mshinde ndio mtokee hapa.
 
Haya maboko ya Polisi yanawatafutia goli mikia
 
Timu iliyofanya Pre season Morocco mwezi mzima vs Timu iliyokaa pre season Mwanza wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…