NBC Premier League: Yanga yaifunga 2-0 KMC na kuongoza ligi

Ikiwa mwaka jana uto kaongoza robo tatu ya ligi mwisho wa msimu kaambulia mapinduzi cup, sishangai mwaka huu akaambulia ile ngao ni suala la muda tu tutaanza kusikia,tunahujumiwa, tff simba, mo ananunua mechi, n.k
Mnakumbuka unbeaten!!
 
Utambeba vipi bingwa wa ligi? Ubingwa anachukuwa Yanga, sasa unambebaje bingwa?
Hii ni mechi ya ngapi? Unakumbuka zile kelele zenu za msimu uliopita? Mpaka round ya kwanza unaisha mlikuwa mnatamba na unbeaten yenu.

Acha tuwatangulize tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…