Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Hauko sawa, unahitaji msaada ili uwe timamu kichwaniKwa magoli ya offside na kijana wenu shikalo ashavuta bahasha yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauko sawa, unahitaji msaada ili uwe timamu kichwaniKwa magoli ya offside na kijana wenu shikalo ashavuta bahasha yake
Magori tulia..hii Yanga ni yakubeba NBC premier league mapema tu.KMC naona golini yupo Kipa wa Yanga si ajabu ashapokea bahasha toka GSM.
Azam wamelichambua goli na hakukuwa na offside vipi unasemaje tena?Kwa magoli ya offside na kijana wenu shikalo ashavuta bahasha yake
Kmc kazidiwa kila kitu, Makolo fc kuna mataahira mengiAzam wameonesha ball position Yanga kaongoza asilimia 53 kwa 47 vipi kmc kaongoza kwenye nini?
Sisi kazi yetu ni kuhakikisha msimu ujao tuningiza team nne kimataifa,ili tuwabebe tena.
Utambeba vipi bingwa wa ligi? Ubingwa anachukuwa Yanga, sasa unambebaje bingwa?Sisi kazi yetu ni kuhakikisha msimu ujao tuningiza team nne kimataifa,ili tuwabebe tena.
Wakati nyinyi mnatuwazia mabaya,sisi tunaka tuwasaidieni.
Miaka minne sasa hii kauli ya matumaini imekuwa ikiongelewaUtambeba vipi bingwa wa ligi? Ubingwa anachukuwa Yanga, sasa unambebaje bingwa?
Ha ha ha ha yamekuwa hayo tenaSisi kazi yetu ni kuhakikisha msimu ujao tuningiza team nne kimataifa,ili tuwabebe tena.
Wakati nyinyi mnatuwazia mabaya,sisi tunaka tuwasaidieni.
Sio bangala ni auchoBangala leo anapoteza mipira tuu
Umekuwa macho yangu?Sio bangala ni aucho
Hii ni mechi ya ngapi? Unakumbuka zile kelele zenu za msimu uliopita? Mpaka round ya kwanza unaisha mlikuwa mnatamba na unbeaten yenu.Utambeba vipi bingwa wa ligi? Ubingwa anachukuwa Yanga, sasa unambebaje bingwa?