NBC Premier League: Yanga yaifunga 2-0 KMC na kuongoza ligi

Farouk Shikalo kapiga picha swaaafi na Enginia Hersi wa Gsm baada ya mechi na akiwa amefurahi saaana - katika ligi Yetu tu kipa wa Timu iliyoruhusu mabao mawili ((wamefungwa) anatoka na furaha ndio maana yeye binafsi na wafananao wa matendo na Vilabu vyayo huwa hawafiki mbali kimaendeleo na kimichezo.

POOR PROFESSIONALISM !

Hili jambo sio zuri kwa ustawi wa soka letu.
 
Imeisha hiyoooo,meza vyupaa
 
Kesho magazeti utadhani wameitoa rivers united ktk champions league
 
Farouk Shikalo kapiga picha swaaafi na Enginia Hersi wa Gsm baada ya mechi na akiwa amefurahi saaana - katika ligi Yetu tu kipa wa Timu iliyoruhusu mabao mawili ((wamefungwa) anatoka na furaha ndio maana yeye binafsi na wafananao wa matendo na Vilabu vyayo huwa hawafiki mbali kimaendeleo na kimichezo.
POOR PROFESSIONALISM !
Hili jambo sio zuri kwa ustawi wa soka letu.
Acha roho mbaya mkuu, timu uliyo chezea ukihama kwa amani hakuna maana ya kukaushiana hata kwa Fairplay

Football haipo hivyo Mkuu, na kwa magoli yale ule ni ubovu wa shikalo mwenyewe tangu akiwa Yanga
 
Back
Top Bottom