NBC: Timu yangu inaongoza, yako nafasi ya 3

Ngoja nami niwe sehemu ya kumbukumbu kwenye huu uzi. Mleta uzi ni yule yule na aliyefuatia ku comment ni yule yule kwenye uzi uliogeuka kuwa shubiri. Ngoja tuone kama mleta uzi kapona ugonjwa wa gundu au bado. Majibu tutapata mwisho wa msimu, kuna mexhi zaidi ya 20 zimebakia
 
Muda wa kufukua makuburi ukifika tusikimbie Tu Uzi [emoji28]
 
Mwisho wa msimu mbali sana,

We angalia leo tu
 
Majibu umeyapata mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…