NBC: Timu yangu inaongoza, yako nafasi ya 3

NBC: Timu yangu inaongoza, yako nafasi ya 3

Dah!! Mwasibu ni bure kabisa. Yaani mechi mbili tu tayari anashangilia!! 😁
Ndio kawaida ya Makolo wao wanadakia upepo unapovuma ,na kwa vile timu lao bovu kuoita maelezo wanafosi furaha hata kwa vitu vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom