NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

Haujui kama Yanga ni nchi inayojitegemea , ukiambiwa Yanga ndio wenye nchi hutaki kusikia ule mwenge wa uhuru origin yake ni kutoka kwa waasisi wa hili Taifa wewe Ng'ombe
 
Mbona nembo ya Yanga ina watu wenye uso, miguu na mikono yenye rangi ya NJANO, wewe umewahi kuwaona wapi watu wa rangi ya njano. Kweli manara hakukosea kuwaita hamna akili
Wale sio watu wewe ng'ombe, wale ni majini
 
Mbona nembo ya Yanga ina watu wenye uso, miguu na mikono yenye rangi ya NJANO, wewe umewahi kuwaona wapi watu wa rangi ya njano. Kweli manara hakukosea kuwaita hamna akili
ila Rage alipatia kuwaita nyie mbumbumbu.
 
Kwani NBC wameanza baada ya kudhamini ligi?

Ulikua wapi kuuliza kabla ya wao kudhamini ligi?



Naona watu wa njano hapo kwenye logo ya utopolo, unaweza kuniambia hao watu ni specie gani na wanatoka galaxy gani?
T shirt na marks ndio za njano hapo πŸ˜‚
 
Hivi Umbumbumbu bado hauja kutoka Isha Mashauzi?

Sasa huyo Tembo ana rangi nyekundu kweli au ndio noti yenye rangi nyekundu.? πŸ˜€πŸ˜€
Wewe choko kwani huyo Twiga ni Twiga kweli au ni logo ya NBC ndiyo yenye rangi nyekundu nyie wenyewe ndiyo mumeanza kutoa hoja za kimalaya as if hiyo logo wameitengeneza juzi. Leteni hoja zenye mashiko msituletee udaku mnaosimuliana kwenye madanguro mkigombea madanga.
 
Kwa mfano Watalii wakija kwenye Mbuga zetu kwa lengo la kumuona huyo Twiga Mwekundu, Watapelekwa Mbuga gani ili wamuone huyu Twiga mwenye redish

Pia na hayo maandishi, kwanini wasiandikie wino mweusi maana sisi Watanzania sio weupe, asili yetu ni waafrika weusi.
 
Hakuna watu wa njano hapo, Ila mavazi yao ndiyo ya njano na kijani. Hebu tazama vizuri
[emoji23][emoji23] umekosa hoja na hukutegemea kukutana na watu waliokuzid akili ,sasa vaz gan limefunika had uso?

Kubal tu kuwa umevuliwa nguo mchana kweupe.
Vipi note ya elfu kumi yule tembo mwekundu yupo mbuga ipi kwa hapa Tanzania ? Na je tembo sio nyara ya serikal?
 
Mdhamini wa ligi Bank ya NBC anayo logo yenye Twiga mwenye rangi nyekundu kama damu, Twiga mwenye rangi hii hayupo duniani. Hivyo sio vema Yanga ikaweka Twiga mwekundu kwenye jezi yake.

Yanga Iko tayari kuweka Twiga mwenye rangi halisi ya twiga lakini sio huyu Twiga wa kihuni.

Standard chartered Bank wanaidhamini Liverpool, lakini Liverpool waliikataa logo yenye rangi halisi ya standard chartered bank ambayo Ina blue na kijani, hivyo wakakubali kuiifanya logo kwaajili ya liverpool iwe nyeupe inayofanana na rangi za Liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…