Hakuna Cha tangazo au nini Twiga ni Twiga na rangi zake zinajulikana. Huwezi kutoutiana sana na ukweli. Ni kama vile mtu achore picha wa Rais wa TFF awe na rangi na macho kama mzungu kila mtu atakupinga.
NBC Wana zoo yenye Twiga wekundu? Yanga ndio timu kubwa yenye watu wengi na wenye uwezo mkubwa wa kununua, kuweka benk na kuingia viwanjani kutizama mechi. NBC lazima waisikikize yanga