REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
🤣🤣 mkuu iyo nafasi ngumu sana kuipata mpaka dk hii ya 85+ Second halfKuna sehemu mtu wa mauzui mmoja huyu inakuwaje
Kata wao wanafanya walichopelekewa na NBS so mama makinda asijifuche aje aleleze maadudu waliyofanya kama wao wamekata majina ya watu wa maudhui kwa kujua hizo nafasi zinajazwa na wakuu wa shule kwanini hawakuweka angalizo kuwa nafasi za maudhui zitajazwa na wakuu wa shule na ikiwa Hilo zoezi waliwachiaa ngazi ya wilaya wamue basi watoe maelekezo kuwa kwa Yale maeneo ambayo mmeona watu wamaudhui wanatosha na mmekata majina yao basi waiteni kwenye usaili wa ukarani Haina manaa mtu unamuingiza gharama za uombaji wa nafasi kimtego weka sifa bayana wanawathiri vijana kisaikolijia kwa uzembe wao wao watoe fair vijana washindwe usaili siyo kuwachinjia juu kwa juu kwa hoja za uzembe wao waoUkishaona issue nyeti ya kitaifa kama hii wameachiwa kata, ujue hamna la maana zaidi ya ubabaishaji na uhuni. Kutokana na weledi mdogo wa kata kung'amua baadhi ya mambo, inabidi wazee na makada wa ccm na walimu wawasaidie kufanya maamuzi.
NB: Sifa za kuwa Mtendaji Kata ni elimu ya kidato cha nne na cheti cha sheria, maendeleo ya jamii, utawala au uongozi.
Haina maana kukaa kimya katani usiwape lawana katani wao wanafanya kutokana na muongozo wa NBS kulikuwa na maana gani NBS kusema watu waombe kupitia online at the zoezi linafanyika kawaida tukisema ni ufisadi na ufujaji wa pesa za umma tunakoseaHawajafanya uhuni wala nini ila mmepata mlichostahili, gharama ya kukaa kimya mnaongea mwishoni ndio hii toka mwanzo mngekusanyika kupinga majina kuchujwa katani Leo hali ingekuwa shwari.
Kila mtu mwanzoni alijikuta ana connection ila nashangaa Sasa wanalalamika. In short Mimi nimefurahi sana kuona unabii wangu umetimia.
Kama jina hulioni kaa kwa kutulia, malalamiko yako hayana maana ila yatakuongezea sonona
Ni kosa kisheria kumweka mtu ktk nafasi ambayo hakuiomba, nafasi za usimamizi wa maudhui zipo ila ni chache.Kata wao wanafanya walichopelekewa na NBS so mama makinda asijifuche aje aleleze maadudu waliyofanya kama wao wamekata majina ya watu wa maudhui kwa kujua hizo nafasi zinajazwa na wakuu wa shule kwanini hawakuweka angalizo kuwa nafasi za maudhui zitajazwa na wakuu wa shule na ikiwa Hilo zoezi waliwachiaa ngazi ya wilaya wamue basi watoe maelekezo kuwa kwa Yale maeneo ambayo mmeona watu wamaudhui wanatosha na mmekata majina yao basi waiteni kwenye usaili wa ukarani Haina manaa mtu unamuingiza gharama za uombaji wa nafasi kimtego weka sifa bayana wanawathiri vijana kisaikolijia kwa uzembe wao wao watoe fair vijana washindwe usaili siyo kuwachinjia juu kwa juu kwa hoja za uzembe wao wao
Ukishaona issue nyeti ya
NB: Sifa za kuwa Mtendaji Kata ni elimu ya kidato cha nne na cheti cha sheria, maendeleo ya jamii, utawala au uongozi.
Kwa hiyo cheti (certificate) unaona ni sifa kubwa!mbona ni sifa murua kabisa, Sheria maendeleo ya jamii, utawala au uongozi. Je ,ungepewa nafasi ungetaka wawe na sifa gani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 chi-njaNeno lenyewe kama lilivyo KA-TA, KATA
Interview umefanya?Mbona mimi nimeitwa nafasi ya usimamizi wa Maudhui wakati mimi sio mwalimu?
Naomba hint za maswali mliyoulizwa basi wakuu
[emoji3][emoji3] KA-TANeno lenyewe kama lilivyo KA-TA, KATA
Mimi niliomba Maudhui na kuna Binamu yangu nae aliomba Maudhui Kata ya Pugu Wilaya ya Ilala, Dar Es Salaam na wote tumeitwa na Usaili tumefanya jana tarehe 20/07/2022. Tatizo vijana wanakosea katika kutuma maombi halafu wanakuja kulalamika