NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

Haina maana kukaa kimya katani usiwape lawana katani wao wanafanya kutokana na muongozo wa NBS kulikuwa na maana gani NBS kusema watu waombe kupitia online at the zoezi linafanyika kawaida tukisema ni ufisadi na ufujaji wa pesa za umma tunakosea

Watu wanekaa wamejiandikia posho mwisho wa siku jukumu lile linarudi ngazi ya chini si uhuni huo na kubaini uhuni na haya madudu Ina maana walikaa kujiandikia posho kwa kazi ambayo hawakuijua
Umeshadukua tayari mpaka umejua kama walijiandikia posho.
 
Mimi niliomba Maudhui na kuna Binamu yangu nae aliomba Maudhui Kata ya Pugu Wilaya ya Ilala, Dar Es Salaam na wote tumeitwa na Usaili tumefanya jana tarehe 20/07/2022. Tatizo vijana wanakosea katika kutuma maombi halafu wanakuja kulalamika
Wabongo ni mabingwa sana wa kupindisha ukweli,unaweza kuta mtu hakukamilisha maombi vizuri,leo analialia kwenye mitandao
 
Wabongo ni mabingwa sana wa kupindisha ukweli,unaweza kuta mtu hakukamilisha maombi vizuri,leo analialia kwenye mitandao
Wengi ndivyo walivyo na ukiwaambia ukweli wanakuona snitch,imagines mtu anaulizwa ataje Wazamini wake aliojaza kwenye maombi hawafahamu kabisa.
 
Ili kazi ya Sensa iwe serious kweli bora wawatumie waalimu na sio kila tu aliyeapply au eti makada wa vyana vya siasa.

Hili ni zoezi sensitive...wawekwe watu wenye uwezo wasije kuharibu kazi.
Hii kauli inanifikirisha sana kuwa watu makini ni walimu.... Huwa naendelea kujiuliza kwani hamna watu wa kada nyingine tofauti ya ualimu waliomba na wao pia wakiwa smart vilevile kama walimu?

Huwa narudi mpaka kukumbuka maisha ya shule(chuo) ni kweli walimu ndio walikuwa smart kuliko watu wengine napata jibu ni uongo maana mtu kuwa smart ni relative condition

Hivyo tuwe tunasema kuwa hili jambo lahitajia watu smart na sio kusema lahitajia walimu coz hata jobless graduate anaweza kuwa more worth than a teacher in term of smartness and vice versa....
 
Back
Top Bottom