NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

Umeshadukua tayari mpaka umejua kama walijiandikia posho.
 
Mimi niliomba Maudhui na kuna Binamu yangu nae aliomba Maudhui Kata ya Pugu Wilaya ya Ilala, Dar Es Salaam na wote tumeitwa na Usaili tumefanya jana tarehe 20/07/2022. Tatizo vijana wanakosea katika kutuma maombi halafu wanakuja kulalamika
Wabongo ni mabingwa sana wa kupindisha ukweli,unaweza kuta mtu hakukamilisha maombi vizuri,leo analialia kwenye mitandao
 
Wabongo ni mabingwa sana wa kupindisha ukweli,unaweza kuta mtu hakukamilisha maombi vizuri,leo analialia kwenye mitandao
Wengi ndivyo walivyo na ukiwaambia ukweli wanakuona snitch,imagines mtu anaulizwa ataje Wazamini wake aliojaza kwenye maombi hawafahamu kabisa.
 
Ili kazi ya Sensa iwe serious kweli bora wawatumie waalimu na sio kila tu aliyeapply au eti makada wa vyana vya siasa.

Hili ni zoezi sensitive...wawekwe watu wenye uwezo wasije kuharibu kazi.
Hii kauli inanifikirisha sana kuwa watu makini ni walimu.... Huwa naendelea kujiuliza kwani hamna watu wa kada nyingine tofauti ya ualimu waliomba na wao pia wakiwa smart vilevile kama walimu?

Huwa narudi mpaka kukumbuka maisha ya shule(chuo) ni kweli walimu ndio walikuwa smart kuliko watu wengine napata jibu ni uongo maana mtu kuwa smart ni relative condition

Hivyo tuwe tunasema kuwa hili jambo lahitajia watu smart na sio kusema lahitajia walimu coz hata jobless graduate anaweza kuwa more worth than a teacher in term of smartness and vice versa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…