NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,

Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.

Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!

Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?

Kumbe tayari mna watu wenu?

Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.

Inasikitisha sana.
Wapo ambao siyo walimu na wamechaguliwa na walishaanza mafunzo

Wacha kupotosha.. kama umekosa haikuwa bahati yako
 
Mkuu pakacha lisha mwagika usisoneneke sanaa inatosha inatosha

Kazi iendelee kurudumu mbele lisonge
 
Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu,

Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui.

Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu!

Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe?

Kumbe tayari mna watu wenu?

Hii sio haki na kama vipi wale waliomba usimamizi wa maudhui basi wapeni ukarani kuliko kuwachinjilia mbali halafu sensa ijayo muwe wazi kabisa kuweka nafasi zenu za kazi, zile ambazo mna watu wenu basi msiweke option ya kuomba kwenye mfumo.

Inasikitisha sana.
Pole mkuu
 
Wapo ambao siyo walimu na wamechaguliwa na walishaanza mafunzo

Wacha kupotosha.. kama umekosa haikuwa bahati yako

Mkuu,yeye anasema wasimamizi wa maudhui ni kwa ajili ya walimu wakuu na sio watu wengine,ndicho anacholaksmikia. Sasa hapo ww ulipo,wasimamizi wa maudhui ni walimu wakuu tu wameenda,au hata wasio wakuu wa shule wamepata hiyo nafasi ya maudhui?
 
Ndicho nilichomjibu; kuna watu wengi tu kutoka mtaani nawafahamu wamekwenda kwenye hayo mafunzo anayosema ni ya walimu wakuu pekee
 
Binafsi nimesikitika sana. Maeneo nilipo majina ya walioomba usimamizi wa maudhui wote wameliwa vichwa. Walipoteza muda na fedha zao kuomba, wamelipotezea tangazo lao. Tz bado sana.
Hilo suala inabidi linagaliwe upya wale WALIOMBA maudhui Waite kwenye usaili wa UKARANI kwani hakukuwepo tarifa mapema za hiyo nafasi ni za watu wa aina gani NBS wanatakiwa kujua wamekosea sana tena sana
 
Hii nchi watu wanafanya mambo kienyeji sana.
Utafikiri viongozi wameenda likizo.
 
NBS wamefanya uhuni maana mtu anaomba nafasi kwa kuangalia gap Sasa kama wao waliona hakuna gap katika nafasi hizo baadhi ya maeneo kwanini waliziweka Ina maana kama ni makatana wao ndio wamevunja mkataba so wanaitajika kulipa
Hii nchi watu wanafanya mambo kienyeji sana.
Utafikiri viongozi wameenda likizo.
 
Busara hii itumike
Hilo suala inabidi linagaliwe upya wale WALIOMBA maudhui Waite kwenye usaili wa UKARANI kwani hakukuwepo tarifa mapema za hiyo nafasi ni za watu wa aina gani NBS wanatakiwa kujua wamekosea sana tena san
 
Hayo yote tisa kimbembe ni WILAYA niliyopo kwa sasa, Mkuu wa wilaya katangaza kuenguliwa kwa watumishi wote katika zoezi la sensa,
Unaambiwa ni vilio vya THIS IS NOT FAIR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom